Storm FM

Recent posts

3 August 2021, 2:26 pm

Shamba la migomba lafyekwa Geita.

Na Zubeda Handrish: Shamba la migomba lenye ukubwa wa ekari mbili limeharibiwa na watu wasiojulikana ikisemekana kuwa chanzo cha uharibifu huo ni mgogoro wa Ukoo dhidi ya Shamba hilo. Mmiliki wa Migomba hiyo Bw. Faida Lunsalia amesikitishwa na kitendo hicho…

3 August 2021, 2:19 pm

Mtoto alishwa kinyesi Ikulwa.

Na Zubeda Handrish: Mtoto wa darasa la nne ambaye ni mkazi wa kata ya Ikulwa mkoani Geita anadaiwa kulishwa kinyesi na mama yake mlezi (wa kambo) ikisemekana chanzo ni ugomvi wa wazazi. Afisa maendeleo katika kata hiyo Bi. Tabisa James Yawanga amesikitishwa…

3 August 2021, 1:54 pm

Duka laungua moto.

Na Zubeda Handrish: Duka la vyombo la vyumba viwili limeungua moto katika mtaa wa Mission uliopo katika halmashauri ya mji wa Geita huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Mmiliki wa duka hilo Bw. Venas John Mpalamawe amesikitishwa na tukio…

3 August 2021, 1:33 pm

Mfumo wa uchukuaji taka ni kero kwa wakazi.

Na Zubeda Handrish: Wakazi wa mtaa wa Nyerere Road katika halmashauri ya mji wa Geita, wameuomba uongozi wa serikali ya mtaa huo kusimamia suala la uchukuaji  wa taka katika makazi yao kwakua magari yanayobeba taka hizo hupita barabara kuu pekee…

8 July 2021, 8:43 pm

Tunakabiliwa na changamoto nyingi:

Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kata ya  Nyarugusu wilayani Geita wameiomba serikali kuendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili ikiwemo nishati ya umeme pamoja na kusogeza huduma ya ofisi ya madini katika eneo hilo. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa…

7 July 2021, 8:26 pm

Tunatambua mchango wa wawekezaji:

Mgodi wa uchimbaji wa madini ya dhahabu wa Busolwa Mining uliyopo kata ya Nyarugusu wilayani Geita umeahidi kuendelea kushirikiana na serikali katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa kata hiyo. Akizungumza mara baada ya kutembelewa na…

8 June 2021, 4:06 pm

Breaking News: Mtu Mmoja Ajeruhiwa Kutokana Na Ajali Ya Gari.

Na Ester Mabula: Mtu Mmoja ambae hakujulikana kwa jina Wala Makazi amejeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Hiace lenye namba za usajiri T- 115 – DGV  wakati alipokuwa akijaribu kuvuka Barabara na baiskeli. Baadhi ya abiria waliyokuwa ndani…

8 June 2021, 3:37 pm

Jamii Yaaswa Kuwaelewa Wajawazito

Na Zubeda Handrish: Jamii imetakiwa kuwa na uelewa juu ya  hali anayopitia mwanamke katika kipindi cha ujauzito ambacho mara nyingi hupelekea mwanamke kuchagua baadhi ya vyakula pamoja na hasira. Hayo yamezungumzwa na Daktari Victor Kajoba kutoka hospitali binafsi ya SAKAMU…

7 June 2021, 6:57 pm

TWCC Yawatembelea Wanawake Migodini

Na Zubeda Handrish: Katika kuendelea kuwainua wafanyabiashara wadogo wanawake kwa upande wa Uchimbaji,Mkurugenzi Mtendaji Wa Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) Bi Mwajuma Hamza ametembelea machimbo madogo ya Dhahabu ya Mgusu, Msasa na Nyarugusu Mkoani Geita Akizungumza na Strom FM…

4 June 2021, 9:58 pm

Storm FM waungana na wakazi wa Mpomvu kusafisha Mazingira

Wafanyakazi na viongozi wa kituo cha Storm fm kwa kushirikiana na Idara ya mazingira na wakazi wa mtaa wa Mpovu kata ya Mtakuja wamefanya usafi katika soko la mtaa huo lengo likiwa ni kuhimiza jamii kujenga desturi ya kuishi kwenye…