Recent posts
10 August 2023, 6:18 pm
Miradi ya bilioni 5.6 yakutwa na mapungufu
Vitendo vya rushwa vimeendelea kuwa na athari kubwa hadi kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa ajili ya wananchi. Na Mrisho Sadick: Miradi 12 yenye thamani ya shilingi Bilioni 5.6 imebainika kuwa na Mapungufu na viashiria vya rushwa wakati…
10 August 2023, 1:03 pm
Nyankumbu Girls yang’ara kuelekea kuanza kwa ligi kuu
Kufuatia uharibu uliofanyika na watu wasiojulikana katika Dimba la Nyankumbu Girls, ukarabati mkubwa umefanyika kwaajili ya klabu ya Geita Gold FC kuutumia kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC. Na Zubeda Handrish- Geita Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2023/24…
9 August 2023, 3:20 pm
Ni Yanga SC au Azam FC kutinga fainali leo?
Darby ya Dar es salaam imeibua hisia za mashabiki wa soka mkoani Geita, na kufunguka timu yenye nafasi zaidi ya kutinga fainali ya Ngao ya Jamii kati ya michezo ya leo. Na Zubeda Handrish- Geita Michuano ya Ngao ya Jamii…
9 August 2023, 1:03 pm
Kilio cha kupanda bei ya mafuta chawafikia abiria
Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Agosti 2023 yamechagiza waendesha vyombo vya moto mjini Geita kuongeza bei kiholela. Na Zubeda Handish- Geita Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamezungumzia juu ya kadhia wanayokumbana nayo kwa waendesha vyombo vya usafiri ya…
8 August 2023, 7:37 pm
Geita yakabidhi Mwenge wa Uhuru Kagera
Mbio za Mwenge wa Uhuru zimefikia tamati Mkoani Geita baada ya kukimbizwa kwa siku sita katika Halmashauri sita za Mkoa huo kuanzia agosti 2 hadi 8 mwaka huu. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amemkabidhi Mwenge…
7 August 2023, 10:33 pm
Mwenge wa Uhuru wafika kwa Hayati JPM
Mpaka sasa, mwenge umezunguka katika wilaya tano na halmashauri sita ndani ya mkoa wa Geita, ambapo umepitia miradi 59 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 29 na kutembea umbali wa kilometa 770. Na Mrisho Sadick- Geita Mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani…
7 August 2023, 6:35 pm
Shamrashamra Simba Day zaendelea Senga
Shamrashamra za kilele cha wiki ya Simba zimeendelea leo kufuatia wanachama Senga kuzindua tawi ikiwa ni muendelezo wa siku ya jana Simba Day. Na Amon Bebe- Geita Leo wanachama wa klabu ya Simba kijiji cha Chanika kata ya Senga, Mkoani…
5 August 2023, 8:12 pm
Watu 25 wakamatwa tuhuma za madawa ya kulevya
Serikali imeendelea kujenga mizizi katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuuanda klabu za kupinga matumizi hayo katika shule za msingi na sekondari. Na Mrisho Sadick: Watuhumiwa 25 wa dawa za kulevya wamekamatwa na kufikishwa mahakamani wilayani Geita ikiwa…
5 August 2023, 7:54 pm
Wanawake kujifungulia barabarani ndio basi tena Mbogwe
Changamoto ya wanawake kujifungulia majumbani na barabarani huenda ikamalizika katika kata ya Ilolangulu wilayani Mbogwe baada ya serikali kujenga wodi. Na Mrisho Sadick: Wanawake wa kata za Ilolangulu , Isebya na Ikobe wilayani Mbogwe mkoani Geita wameondokana na adha ya…
3 August 2023, 4:28 pm
Wahandisi Geita mji watakiwa kusimamia miradi
Katika kukabiliana na changamoto ya huduma za afya katika Kata ya Nyankumbu, serikali kupitia Halmashauri ya mji wa Geita imefanya upanuzi kwa kuongeza majengo nakununua Gari la kubebea wagonjwa. Na Mrisho Sadick: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa…