Storm FM

Recent posts

31 October 2023, 7:49 pm

Vifaa vya matibabu vya milioni 400 vyanunuliwa Nyang’hwale

Serikali imedhamilia kuboresha huduma za afya kwa kujenga nakupeleka vifaa vya kisasa vya matibu katika Zahanati , Vituo vya afya na Hospitali. Na Mrisho Sadick – Geita Serikali imetoa zaidi ya milioni 400 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba…

26 October 2023, 3:50 pm

Joyce auawa kisha sehemu zake za siri kunyofolewa Mbogwe

Ramli chonganishi zimeendelea kusababisha mauaji maeneo mbalimbali hapa nchini huku serikali ikitakiwa kupambana na suala hilo kuokoa maisha ya watu hususani maeneo ya vijijini. Na Mrisho Sadick: Mwanamke Joyce Luhedeka mwenye umri wa miaka (51)  Mkazi wa kijiji cha Ikobe…

25 October 2023, 12:39 pm

Vifusi barabarani kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto Katoro

Kuchelewa kurekebishwa kwa miundombinu ya barabara imekuwa kikwazo nakuzorotesha uchumi wa wa wananchi. Na Kale Chongela: Madereva pikipiki na Bajaji wanaotumia barabara ya  soko kuu la  mji mdogo wa  katoro wilayani Geita wamelalamikia uwepo wa vifusi katikati ya barabara hilo hali…

25 October 2023, 11:23 am

Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji

Mkakati wa wilaya ya Chato kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii umeanza kupitia matamasha mbalimbali. Na Mrisho Sadick: Wilaya ya Chato imepanga kutumia tamasha la Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji katika sekta ya Utalii kwakuwa wilaya hiyo ina…

25 October 2023, 10:29 am

Bweni laungua moto wanafunzi watano wakimbizwa hospitali

Wananchi wengi hawajui namna ya kupambana na moto pindi unapozuka kwenye nyumba zao hata kama kuna vifaa vya kuzimia moto huku serikali ikishauriwa kuendelea kutoa elimu zaidi kwa wananchi. Na Mrisho Sadick: Bweni la wasichana shule ya sekondari Queen Marry…

24 October 2023, 8:19 pm

Mabasi mabovu 19 yapigwa stop kusafirisha abiria Geita

Kutokana na uwepo wa ajali nyingi mwisho wa mwaka zinazochangiwa na matumizi ya magari mabovu , watu kutozingatia sheria za usalama barabarani , Jeshi la Polisi limekuja na mwarobaini wa matukio hayo. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoani Geita…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.