Recent posts
16 November 2023, 12:56 pm
Watendaji Geita walioondoka na michango ya wananchi watakiwa kuirudisha
Baadhi ya watendaji wa vijiji katika Halmashauri ya wilaya ya Geita kuhama na michango ya wananchi kumezua maswali huku wananchi wakiomba kurudishiwa fedha zao. Na Mrisho Sadick – Geita Mkuu wa wilaya ya Geita Cornel Magembe ameiagiza Halmashauri ya wilaya…
16 November 2023, 12:34 pm
Geita mji yapewa siku 30 kukamilisha Zahanati zote zilizotelekezwa
Kutelekezwa kwa Zahanati zaidi ya tatu katika Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita kumemuibua Mkuu wa Mkoa nakutoa maagizo kwa watendaji wa serikali katika eneo hilo. Na Mrisho Sadick – Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela ametoa…
13 November 2023, 11:41 am
Wanafunzi kidato cha nne wapewe nafasi na uhuru wakati wote wa mtihani
Kuanza kwa mtihani wa kidato cha nne kumeisukuma taasisi ya mtetezi wa mama wilayani Geita kuandaa kongamano la kuwaombea nakuwapatia vifaa watahiniwa katika shule za Katoro na Ludete. Na Mrisho Sadick: Wazazi na walezi Mkoani Geita wametakiwa kuwatimizia mahitaji ya…
10 November 2023, 4:07 pm
Makonda azulu kaburi la JPM Chato
Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Makonda amezulu kaburi la Maguli leo hii. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa, leo November 10, 2023…
10 November 2023, 3:59 pm
Makonda atua Chato, asema Rais Samia hana ubaguzi
Akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda , leo November 10, 2023 amefika wilayani Chato na kuzungumza na wananchi. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na…
9 November 2023, 3:34 pm
Watu 25 wakamatwa kwa tuhuma za ujangili Geita
Matukio ya ujangili yamekithiri kiasi cha Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kuamua kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na hilo. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu 25 kwa tuhuma za ujangili wa misitu ikiwemo…
7 November 2023, 6:49 pm
Shabiki wa Yanga Geita kutoa ngo’mbe 5 kwa wachezaji
Kipigo cha Simba kimeendelea kupeleka neema Jangwani baada ya wadau kuanza kujitokeza kutoa zawadi za pongezi. Na Mrisho Sadick – Geita Baada ya Yanga kuifunga Simba goli 5 – 1 shabiki wa Yanga mkoani Geita Hussein Mwananyanzara ameahidi kutoa ng’ombe…
7 November 2023, 6:30 pm
Polisi Geita: Mikopo ya pikipiki iende sambamba na mafunzo ya udereva
Ajali za barabarani zaliibua Jeshi la Polisi juu ya mikopo holela ya pikipiki kwa vijana isiyozingatia usalama wao. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la Polisi mkoani Geita limezitaka kampuni na watu binafsi wanaotoa mikopo ya pikipiki kwa vijana kuingia…
2 November 2023, 6:17 pm
Jioni Ripoti: Taarifa ya habari ya jioni 02-11-2023 Storm FM Geita
Bonyeza hapa kusikiliza
2 November 2023, 5:42 pm
Shida ya maji, fisi vyawatesa wakazi kijiji cha Lubando
Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama, tishio la fisi vijijini katika wilaya ya Nyang’hwale umeendelea kuwapa changamoto wananchi wanaoishi maeneo hayo ambao huchangia maji na mifugo huku wakitembea umbali wa kilomita 20 kufuata maji. Na Mrisho Sadick –…