Storm FM

Recent posts

12 October 2023, 11:05 am

Wilaya ya Geita kufanya msako wa wazazi waliotelekeza familia

Wakati serikali ikiendelea kupambania haki sawa kwa mtoto wa kike wananchi na wadau wametakiwa kuiunga mkono katika mapambano hayo. Na Mrisho Sadick: Watendaji wa Mitaa na Kata wilayani Geita wameagizwa kufanya msako nakuwachukulia hatua kali wazazi na walezi ambao wamewatelekezea…

9 October 2023, 6:03 pm

Watu watatu wafariki kwa ajali Geita, wawili watumishi wa serikali

Ajali za barabara zimeendelea kukatisha uhai wa watu wengi , jitihada za makusudi zinahitajika ikiwemo elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto ili kupunguza matukio hayo hususani kwa waendesha pikipiki. Na Mrisho Sadick – Geita Watu watatu wakiwemo watumishi wawili…

8 October 2023, 3:04 am

Kero ya barabara yawazidia wana Kilimbu, Msalala

Licha ya ahadi kadhaa kuendelea kufanyiwa kazi kwa wananchi wa Msalala lakini bado kero ya barabara ni kubwa katika kijiji cha Kilimbu. Na Zubeda Handrish- Msalala Mbunge wa Jimbo la Msalala Iddi Kassim Iddi akiwa katika kijiji cha Kilimbu kata…

7 October 2023, 5:57 pm

Wazee waomba ushiriki kwenye vyombo vya kutoa maamuzi

Wazee nchini bado wanakabiliwa na changamoto nyingi huku suluhu ya changamoto hizo ni wazee hao kushirikishwa kikamilifu na serikali katika mambo ambayo yanawahusu. Na Mrisho Sadick: katikaBaraza la Wazee Nchini limeiomba serikali kuwashirikisha Wazee kwenye vyombo vya kutoa maamuzi ikiwemo…

6 October 2023, 10:27 am

Wazee nchini walaani vijana kuwalazimisha kuwarithisha mali

Wazee Nchini wameiomba serikali kuingilia kati vitendo vya baadhi ya vijana wao kuwalazimisha kuwarithisha mali ili hali wako hai sababu ambayo inachangia wengi wao kufanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo mauaji pindi wanapokataa kufanya hivyo. Suala la vijana kuwalazimisha wazee kuwarithisha…

3 October 2023, 11:04 am

Vijiji 75 wilaya ya Geita vyapatiwa umeme

Dhamira ya serikali ya awamu ya sita nikufikisha umeme katika vijiji zaidi ya elfu 12 hapa nchini imeendelea kuonekana baada ya serikali kuendelea kufikisha huduma hiyo vijijini. Na Mrisho Sadick: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefikisha nishati ya umeme kwenye…

2 October 2023, 10:44 am

Sekta ya madini kutengeneza mabilionea wanawake nchini

Sekta ya Madini imeendelea kukua kila siku huku kundi la wanawake likionesha nia kubwa ya kuwekeza katika sekta hiyo huku serikali ikiahidi kuwapa kipaumbele. Na Mrisho Sadick: Chama cha wachimbaji wadogo wanawake nchini TAWOMA kimeanzisha Tuzo za Malkia wa Madini…

29 September 2023, 10:30 pm

Bodaboda Geita wagoma kuzika wakiwadai rambirambi viongozi wao

Suala la kupewa pesa pungufu unapotokea msiba wa bodaboda mwenzao katika chama cha bodaboda mkoa wa Geita, limewaibua bodaboda hao na kuamini viongozi wao wana kawaida ya kula rambirambi. Na Zubeda Handrish- Geita Waendesha boda boda mkoani Geita wamegoma kufanya…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.