Storm FM

Recent posts

23 October 2024, 9:57 am

Makala: Wanawake na uchimbaji madini Geita

Karibu katika makala fupi inayoangazia namna wanawake mkoani Geita walivyochangamkia fursa ya uchimbaji wa madini ya dhahabu. Makala hii imeandaliwa na mwandishi wetu Daniel Magwina. Bonyeza hapa kusikiliza

23 October 2024, 2:14 am

Wahofia ndoa zao kuvunjika chanzo ukosefu wa maji Nyankumbu

Wakazi wa mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu, halmashauri ya mji wa Geita, wameeleza kukumbwa na ukosefu wa maji kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa Na: Amon Mwakalobo – Geita Kufuatia changamoto ya ukosefu wa maji kwa wakazi…

23 October 2024, 1:54 am

Bei ya nyanya mjini Geita yapanda, wauzaji wafunguka

Zao la nyanya ni miongoni mwa mazao muhimu ya kilimo nchini Tanzania, likiwa na umuhimu mkubwa katika chakula na biashara. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wauzaji wa nyanya katika soko la asubuhi Nyankumbu katika halmashauri ya mji wa…

22 October 2024, 9:59 pm

Rais Samia atoa milioni 50 kwa wanawake Geita

Serikali imeendelea kuweka nguvu kwa wanawake wanaofanya shughuli katika migodi ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ili kuwainua kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani ametoa kiasi cha shilingi milioni 50 kwa…

22 October 2024, 5:38 pm

GGML yakabidhi pikipiki 50 kwa Jeshi la polisi Geita

GGML imeendelea kushirikiana na serikali katika kufadhili shughuli mbalimbali za maendeleo mkoani Geita ikiwa ni ajenda yao ya kunufaisha Jamii inayozunguka mgodi huo. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imekabidhi pikipiki 50 kwa Jeshi…

20 October 2024, 8:20 pm

UVCCM Geita yaonya madai ya vijana kutishwa

Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kupanda kila kukicha huku vijana wakianza kuona dalili za kukatishwa tamaa kuwania nafasi za uongozi. Na Mrisho Sadick: Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita umekemea vikali madai…

20 October 2024, 8:09 pm

Watoto bado wanakabiliwa na changamoto Geita

Watoto hususani wa kike mkoani Geita bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika jamii ikiwemo kutoaminiwa,nakupewa nafasi ya kufanya maamuzi. Na Mrisho Sadick: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali imedhamiria kuboresha na kulinda…

16 October 2024, 9:58 am

Dereva agonga taa ya barabarani na kutokomea kusikojulikana

Kufuatia maboresho ya miundombinu ya barabarani katika mji wa Geita, wananchi wameaswa kuwa makini wakati wa utumiaji wa miundombinu hiyo. Na: Kale Chongela – Geita Wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Geita umetoa angalizo kwa madereva wanaoharibu miuondombinu ya…

16 October 2024, 9:43 am

TANROADS yatatua kero ya barabara Nyantorotor A

Wakala wa barabara nchini Tanzania (TANROADS) wasaidia katika utatuzi wa barabara ya Nyantororo A ambayo ilikuwa changamoto kwa wakazi wa eneo hilo. Na: Kale Chongela – Geita Kufuatia uwepo wa changamoto ya baadhi ya madereva wa vyombo vya moto kutumia…

15 October 2024, 2:56 pm

Sekondari ya Lutozo kuondokana na changamoto ya maji

Shule ya sekondari Lutozo iliyopo kata ya Katoro halmashauri ya wilaya ya Geita imeondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali kuchimba kisima. Na: Edga Rwenduru – Geita Wanafunzi wa…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.