Storm FM

Recent posts

13 July 2024, 12:38 pm

Kata ya Ihanamilo yakabiliwa na uhaba wa maji

Licha ya serikali kufanya jitihada za ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule zilizopo kata ya Ihanamilo, eneo hilo linakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji. Na: Edga Rwenduru – Geita Changamoto ya uhaba wa maji katika kata ya Ihanamilo…

11 July 2024, 6:36 pm

Maadhimisho ya siku ya idadi ya watu kitaifa yafanyika Geita

Ongezeko la idadi ya watu duniani bado linaendelea kuacha maswali ya namna idadi hiyo itakavyoendana na ukuaji wa uchumi wa wananchi. Na Daniel Magwina Naibu Waziri ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo amewataka watendaji wa serikali nchini kutumia…

10 July 2024, 10:58 am

Aliyeomba Mungu ajifungue pacha ajifungua wanne

Baada ya kumuomba Mungu amjalie watoto pacha, hali imekuwa tofauti baada ya kujaliwa watoto wanne wote wakiwa wa kike. Na: Edga Rwenduru – Geita Elizabeth Vicent (30) mkazi kata ya Nyankumbu, halmashauri ya mji wa Geita amejifungua watoto wanne baada…

10 July 2024, 9:49 am

Wakazi wa Narusunguti walia na ukosefu wa maji safi na salama

Licha ya mikakati ya serikali kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kila kijiji, bado hali tete kwa wakazi wa kijiji cha Narusunguti wilayani Bukombe mkoani Geita wakiwa na changamoto hiyo tangu mwaka 2002. Na: Evance Mlyakado – Geita Wananchi…

9 July 2024, 2:41 pm

Jamii yakumbushwa kuacha kutumikisha watoto Geita

Jamii imekumbushwa kuwalinda watoto dhidi a vitendo hatarishi ili kupunguza ukatili ambao unaendelea kwenye jamii. Imeelezwa kuwa kumekuwepo na ongezeko la watoto wanaoishi mazingira magumu (mitaani) katika mtaa wa Msalala road uliopo kata ya Kalangalala halmashauri ya mji wa Geita…

8 July 2024, 10:07 am

GGML yaanza maandalizi ya Kili challenge 2024

Kampeni ya Kili challenge huratibiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold mine limited (GGML) kwa kushirikiana na tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ambapo hufanyika Julai ya kila mwaka. Na: Kale Chongela – Geita Uongozi wa mgodi wa Geita…

3 July 2024, 10:16 am

Wakulima wa nanasi Sungusira walia ugumu wa soko

Halmashauri ya wilaya ya Geita katika vijiji vya Nzera, Sungusira na Igate vinatajwa kwa ulimaji wa nanasi ambapo baadhi ya wananchi hujihusisha na kilimo hicho ili kujipatia kipato. Na: Evance Mlyakado – Geita Changamoto ya ukosefu wa soko la uhakika…

3 July 2024, 9:58 am

Ashangaza majirani kwa kuhifadhi taka ndani Msalala Road

Suala la usafi wa mazingira ni jambo ambalo linahimizwa na viongozi kwa jamii kuzingatia ili kuweza kujiepusha na maradhi mbalimbali. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja kwa jina Elia Mayoyo (51) mkazi wa mtaa wa Msalala Road halmashauri ya…

1 July 2024, 3:47 pm

Matibabu bure kwa wazee bado kizungumkuti

Sera ya matibabu bure kwa wazee nchini bado inagubikwa na vikwazo mbalimbali ambapo walengwa ambao ni wazee mkoani Geita wameeleza changamoto wanazopitia. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wazee wanaoishi katika kata za Kalangalala, Mtakuja na Bombambili katika halmashauri…

1 July 2024, 10:32 am

Wananchi Sungusira waomba zahanati ianze kazi

Ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Sungusira kata ya Nzera halmashauri ya wilaya ya Geita unatarajiwa kuondoa adha ya kutembea umbali mrefu kwa wananchi wa eneo hilo kufuata huduma za afya katika vijiji jirani. Na:Evance Mlyakado -Geita Wananchi wa kijiji…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.