Recent posts
9 August 2024, 9:48 am
Vumbi lawa kikwazo kwa watumiaji wa stendi Geita mjini
Miundombinu mibovu kwenye stendi ya magari ya abiria mkoani Geita imetajwa kuwa kikwazo kwenye utoaji wa huduma. Na: Kale Chongela – Geita Watumiaji wa kituo kikubwa cha magari ya abiria mkoani Geita wamedai kukabiliwa na uwepo wa vumbi linalosababishwa na ubovu…
8 August 2024, 1:36 pm
RUWASA yaanza kutatua changamoto ya maji Nyarugusu
Wakazi wa kata ya Nyarugusu halmashauri ya wilaya ya Geita wameiomba serikali kutatua changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama katika kijiji hicho kwani maji wanayotumia kwa sasa yanahatarisha afya zao. Na: Edga Rwenduru – Geita…
8 August 2024, 12:24 pm
Zaidi ya wananchi 24,000 wamejiandikisha mjini Geita
Zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa katika daftari la kudumu la mpiga kura linaendelea katika mkoa wa Geita tangu kuanza Agosti 05, 2024 Ikiwa leo ni siku ya tatu ya tangu kuanza kwa zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa za…
8 August 2024, 11:58 am
Watumiaji vyombo vya moto Geita watoa maoni bei mpya za mafuta
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) Agosti 0, 2024 imetoa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa hapa nchini zitakazotumika kwa mwezi Agosti. Na: Ester Mabula – Geita Bei ya…
7 August 2024, 1:45 pm
Geita kuanza mikakati ukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua
Kufuatia mvua za masika zilizonyesha kwa mwaka 2024 kuacha uharibifu kwa baadhi ya miundombinu ya barabara, serikali mkoa wa Geita yaanza mikakati ya matengenezo. Na: Edga Rwenduru – Geita Serikali kupitia wakala wa barabara mijini na vijijini TARURA mkoa wa…
6 August 2024, 3:33 pm
Binti ajifungua na kutupa kichanga chooni Geita
Kituo cha redio cha Storm FM kilichopo mkoani Geita kinaendesha kampeni ya kupinga vitendo vya ukatili iitwayo INATOSHA PINGA UKATILI yenye lengo la kupaza sauti kwa jamii kuachana na vitendo vya ukatili. Na: Evance Mlyakado – Geita Katika hali isiyokuwa…
6 August 2024, 12:13 pm
Mwitikio wa uchangiaji damu bado mdogo mjini Geita
Uhitaji wa damu salama katika hospitali ya halmashauri ya mji wa Geita bado ni mkubwa ukiliganisha na wahitaji kwani kwa siku hutumika unit 20 hadi 25. Na: Kale Chongela – Geita Mratibu wa kitengo cha damu salama katika hospitali hiyo…
6 August 2024, 11:58 am
Geita yaanza zoezi la uandikishaji wapiga kura
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mkoa wa Geita umeanza zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura. Na: Kale Chongela – Geita Zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu la mpiga…
2 August 2024, 2:20 am
Wadau wa kilimo wahimizwa kufanya tafiti zenye tija Geita
Dhana potofu kwa wakulima juu ya mbolea za viwandani imeendelea kukosesha wakulima fursa mbalimbali ikiwemo kupata mavuno mengi. Na: Evance Mlyakado – Geita Wadau wa kilimo mkoani Geita wametakiwa kufanya tafiti zenye kuleta tija ili kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto…
1 August 2024, 3:08 am
GGML yawapiga msasa madereva wa serikali Geita
Kampuni ya GGML imeendelea kuiishi dhana ya kuwa usalama ni tunu namba moja inayoendesha shughuli zote za ndani na nje ya mgodi na hivyo kusaidia jamii kuwa na tabia chanya za kuzingatia usalama. Na: Evance Mlyakado – Geita Geita Gold…