Recent posts
5 April 2021, 5:27 pm
Mwenyekiti wa Mtaa anusurika kipigo kutoka kwa wananchi Geita
Mwenyekiti wa mtaa wa Tambukareli kata ya Kalangalala Wilayani Geita amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wa mtaa wa Bombambili kwa madai ya kutaka kusoma taarifa ambayo hawakuitaka isomwe mbele yao. Hatua hiyo ya wananchi imetokana na madai ya kiongozi huyo…
5 April 2021, 4:36 pm
Wazee Mjini Geita Waendelea kumuenzi Dkt John Pombe Magufuli
Baadhi ya wazee katika Halmashauri ya mji wa Geita wameomba viongozi mbalimbali kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwapa kipaumbele kwa huduma mbalimbali za kijamii kama ilivyokuwa enzi za utawala wa hayati Magufuli . Wazee hao wamesema kuwa hayati Magufuli watamkumbuka kwa…
5 April 2021, 1:23 pm
Umoja wa wanawake wilaya ya Geita Kumuenzi JPM kwa kuchapa kazi
Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya Geita umesema wanawake watamuenzi Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchapa kazi na kusimamia haki na kumuunga mkono Rais wa awamu ya sita Samia Suluhu Hassan ili kutimiza maono ya mtangulizi wake.…
5 April 2021, 12:36 pm
Pikipiki yalipuka nakuwaka moto mjini Geita
Wakazi wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu mjini Geita wametakiwa kuwa na vifaa vidogo vya kuzimia moto wa awali katika Makazi yao na Sehemu za biashara ili kukabiliana na majanga ya moto yanayoweza kujitokeza katika maeneo yao. Rai hiyo…
4 April 2021, 2:21 pm
Kampuni ya utafiti wa madini yakana kuwalipa fidia wananchi kupisha maeneo yao.
KAMPUNI ya Utafiti wa madini ya Mabangu imekana kuzilipa fidia ya mashamba familia 22 za wakazi wa kijiji cha Nyakafulu wilayani Mbogwe mkoani Geita ili kupisha shughuli za uchimbaji na badala yake imesema malipo iliyowalipa yalikuwa ni kwa ajili ya…
2 April 2021, 3:45 pm
Viongozi wa mamlaka ya mji wa katoro wilayani Geita wamuenzi JPM
Baadhi ya viongozi wa mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani na Mkoani Geita wamesema katika kumuenzi Hayati Dkt John Pombe Magufuli watahakikisha wanafanya kazi kwa uadilifu. Kauli hiyo imetolewa na Afisa mtendaji wa kata ya Katoro wilayani Geita Bw…
30 March 2021, 1:59 am
Barabara yapewa jina la JPM wilayani Mbogwe Mkoani Geita
Mbunge wa jimbo la mbogwe Nikodemas Maganga ameamua kuiita MAGUFULI ROAD barabara ya kilomita 3 inayotengenezwa kpitia fedha zilizotolewa na hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika wilaya hiyo. Mbunge Maganga Amesema kutokana na mchango mkubwa wa…
29 March 2021, 5:14 pm
Miundombinu ya usafiri Mkoani Geita yaboreshwa
Watumiaji wa vyombo vya moto mkoa wa Geita wamesema hayati Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano watanzanaia Watamuuenzi kwa vitendo kwakuwa alisimamia na kuboresha Miundombinu ya usafiri. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa umoja wa…
27 March 2021, 3:26 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awaondoa hofu wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baada ya mazishi ya Dkt. John Magufuli , kinachofuata ni utekelezaji wa ahadi zote ambazo yeye na chama chake (Chama cha Mapinduzi) waliahidi wakati wa kampeni za…
25 March 2021, 3:01 pm
Wakulima wilayani Chato walalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara
Wakulima wa kata za Kachwamba na Kasenga wilayani Chato mkoani Geita wanalazimika kuuza dumu la mahindi kwa shilingi 3500 badala ya 8000 kutokana na miundombinu mibovu ya barabara ambayo haiwawezeshi kusafirisha bidhaa hiyo kwa uharaka. Wakizungumza na Storm Fm kwa…