Storm FM

Recent posts

30 March 2021, 1:59 am

Barabara yapewa jina la JPM wilayani Mbogwe Mkoani Geita

Mbunge wa jimbo la mbogwe Nikodemas Maganga ameamua kuiita MAGUFULI ROAD barabara ya kilomita 3  inayotengenezwa kpitia fedha zilizotolewa na hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika wilaya hiyo. Mbunge Maganga Amesema kutokana na mchango mkubwa wa…

29 March 2021, 5:14 pm

Miundombinu ya usafiri Mkoani Geita yaboreshwa

Watumiaji wa vyombo vya moto mkoa wa   Geita   wamesema hayati Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano watanzanaia Watamuuenzi  kwa vitendo  kwakuwa alisimamia na kuboresha Miundombinu ya usafiri. Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti wa umoja wa…

27 March 2021, 3:26 pm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awaondoa hofu wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baada ya mazishi ya Dkt. John Magufuli , kinachofuata ni utekelezaji wa ahadi zote ambazo yeye na chama chake (Chama cha Mapinduzi) waliahidi wakati wa kampeni za…

25 March 2021, 3:01 pm

Wakulima wilayani Chato walalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara

Wakulima wa kata za Kachwamba na Kasenga wilayani Chato mkoani Geita  wanalazimika kuuza dumu la mahindi kwa shilingi 3500 badala ya 8000  kutokana na miundombinu mibovu ya barabara ambayo haiwawezeshi kusafirisha bidhaa hiyo kwa uharaka. Wakizungumza  na Storm Fm kwa…

24 March 2021, 10:12 pm

Wakazi wa Mwanza wamejitokeza kwa wingi kumuaga Dkt Magufuli

Wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo ya mikoa jirani ya Shinyanga,Simiyu na Tabora wamejitokeza kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba kumuaga Dkt John Pombe Magufuli aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliefariki dunia Machi 17-2021 kwa…

24 March 2021, 6:45 pm

Waganga na wakunga wa tiba asili Tanzania wamlilia Dkt. Magufuli

Na Mrisho Sadick – Geita Siku chache baada ya kufariki aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Umoja wa waganga na wakuga wa tiba asili Tanzania (UWAWATA) umesema kufariki kwa kiongozi huyo  ameacha pengo kubwa…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.