Recent posts
19 April 2021, 5:55 pm
Wakazi wa Mtaa wa Ujamaa Geita walalamikia kero ya Uchafu machinjioni
Na Kale Chongela: Wakazi Wa Mtaa wa Ujamaa Kata ya Kalangalala Halmashauri ya Mji Wa Geita Wameuomba Uongozi wa Eneo Hilo Kutatua Chagangamoto ya Uchafu Katika Eneo La Machinjioni. Wakizungumza na Storm FM Wananchi Wa Mtaa Huo Wamesema Hali hiyo…
16 April 2021, 11:13 pm
Mashabiki wote watakuwa salama katika Mchezo wetu na Pamba FC
Mjumbe wa kamati kuu tendaji wa chama cha mpira wa miguu Geita (GEREFA) Simon Shija amesema kila kitu kwa maana ya maandalizi kuelekea mchezo wa kesho ligi daraja la kwanza Tanzaniabara baina ya Geita Gold FC dhidi ya Pamba SC…
16 April 2021, 6:23 pm
Shule mpya ya sekondari kuondoa changamoto Geita
Na Mrisho Sadick: Kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari Evarist iliyopo kata ya nyarugusu wilayani Geita umesaidia kupunguza mrundikano wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya nyarugusu iliyopo katani humo. Akizungumza na Storm FM shuleni hapo afisa elimu wa…
16 April 2021, 6:06 pm
Geita Gold FC yaapa kupanda ligi kuu 2021/22
Na William Petro: Klabu ya soka ya Geita Gold FC ya mkoani Geita inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania bara imesema kuwa mchezo wake wa kesho 17/04/2021 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza ndio otakatoa hatima ya klabu hiyo kupanda…
16 April 2021, 5:56 pm
Takukuru Mkoani Geita yaokoa zaidi ya Million 300
Na Joel Maduka: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Geita kwa Kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi 2021 imefanikiwa kuokoa kiasi cha zaidi ya Tanzania shilingi milioni miatatu ambazo zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu kwa njia mbalimbali za rushwa…
15 April 2021, 6:23 pm
Tukuze Utalii wa ndani sisi wenyewe
Na Mrisho Sadick: Katika kukuza utalii wa ndani baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari Mkoani Geita wameungana kwa pamoja kuchangia ziara ya mafunzo katika Hifadhi za Taifa kwa lengo la kujijengea uwezo wa kitaaluma kuhusu rasilimali hizo.…
15 April 2021, 6:15 pm
Wanufaika wa Tasaf Geita wapewa ushauri
Na Elizabeth Obadia Wakazi wa mtaa wa nyamalembo wanaonufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini tanzania tasaf wameshauriwa kuzitumia vizuri pesa wanazozipata kwa kufanya uwekezaji ili kujiongezea kipato zaidi. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa nyamalembo Bw.…
15 April 2021, 6:08 pm
Walazimika kuanzisha kituo cha Polisi kukabiliana na uhalifu
Na Mrisho Sadick: Kutokana nakushamili kwa vitendo vya uhalifu katika kata ya Nyankumbu mjini Geita wananchi na viongozi wa eneo hilo wamelazimika kuanzisha kituo kidogo cha polisi ili kukabiliana na changamoto hiyo. Wakizungumza katika eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi,…
15 April 2021, 6:00 pm
Wananchi washiriki kutengeneza madawati Geita
Na Paul Lyankando: Serikali ya kijiji cha Ikunguigazi wilayani mbogwe mkoani Geita kwa kushirikiana na wananchi wameendelea kutengeneza madawati ili kuondoa changamoto ya wanafunzi zaidi 890 kusomea chini. Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi Bw Jumanne Manyasa amesema kwa kushirikiana na…
15 April 2021, 5:50 pm
Watoa huduma ya chakula mitaani watakiwa kuvaa sare Geita
Na Kale Chongela: Watoa huduma ya chakula katika halmashauri ya mji wa Geita wametakiwa kuvaa mavazi maalum wakati wa biashara pamoja na kofia kwa ajili ya kuimarisha usafi ili kuendelea kulinda afya za wateja wanaowahudumia. Wito huo umetolewa na Afisa…