Recent posts
23 April 2021, 6:37 pm
Mtoto azaliwa bila mikono
Na Joel Maduka: Baraka Marko mkazi wa Nemba Wilaya ya Biharamulo amewaomba watanzania wenye mapenzi mema kumsaidia kupata baiskeli ndogo ya magurudumu matatu ambayo itamsaidia mtoto wake ambaye anaitwa Faraja Baraka aliyemzaa bila ya kuwa na mikono kutokana na sasa…
23 April 2021, 6:15 pm
Vijana washauriwa kutobagua kazi za kufanya Geita
Na Ester Mabula: Vijana mkoani Geita wameshauriwa kujiajiri na kuacha dhana ya kubagua kazi ili kuweza kujipatia maendeleo na kuendesha maisha yao. Hayo yamebainishwa na baadhi ya vijana walioamua kujiajiri kwa kuunda kikundi cha kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia vyuma…
23 April 2021, 6:07 pm
Ngo’mbe wawili wamekufa baada ya kunywa maji yenye sumu Geita
Na Kale Chongela: Ng’ombe wawili wamekufa baada ya kunywa maji yenye sumu kutokana na kutapakaa kwa maji yenye sumu yanayo toka katika eneo la uchenjuaji wa madini ya dhahabu katika mtaa wa Samina Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita…
21 April 2021, 12:00 pm
Wagoma kulinda usiku kwa kuhofia kukamatwa
Na Mrisho Sadick: Mtaa wa Nyamakale uliyopo halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita unakabiliwa na changamoto ya ulinzi shirikishi kutokana na baadhi ya wakazi wa eneo hilo kushindwa kushiriki kwa madai ya kuogopa kupata matatizo. Wakizungumza na Storm FM…
21 April 2021, 11:48 am
Mtoto wa miezi 7 atupwa kichakani Geita
Na Mrisho Sadick: Mtoto mchanga anaekadiriwa kuwa na umri wa miezi (7) amekutwa ametupwa kwenye kichaka huku akiwa amefariki katika Mtaa Mtaa wa Nyanza halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita. Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukio hilo wameiambia Storm…
21 April 2021, 11:30 am
Mama avunja nyumba ya mume wake wa zamani
Na Nichoras Paul Lyankando: Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha nyamalulu katika halmashauri ya wilaya ya Geita amefanya uharibifu wa kubomoa nyumba ya aliekuwa mmewake wa zamani huku ikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Akizungumza na Storm FM Charles Katisho…
21 April 2021, 11:15 am
Wanasoka Geita waomba kujengewa uwanja wa kisasa
Na William Petro: Mashabiki na wapenzi wa wa soka mkoni Geita wameuomba uongozi wa mkoa kuangalia namna ya kukamilisha ujezi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu kwani miundombinu ni sehemu ya maendeleo ya soka. Wapenzi na mashabiki hao…
21 April 2021, 10:46 am
GGML yapewa ruhusa uchimbaji wa wazi
Na Joel Maduka: Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Anglo Gold Ashanti Kupitia mgodi wake wa Geita Gold Mining Limited (GGML) imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021 unaohusisha uchimbaji wa wazi na wa chini kwa chini…
19 April 2021, 6:34 pm
Wanafunzi wasifu ujenzi wa shule Mpya Geita
Wanafunzi Wa Shule Ya Sekondari Ya Evarist Iliyopo Kata Ya Nyarugusu Wilayani Geita Wameipongeza Serikali Kwa Kushirikiana Na Wadau Wa Maendeleo Katika Eneo Hilo Kwa Kufanikisha Ujenzi Wa Shule Hiyo. Wakizungumza Katika Shule Hiyo Ambayo Imeanza Kutoa Elimu Ya Kidato…
19 April 2021, 6:23 pm
Wafanyabiashara waomba mpangilio Mzuri wa soko
Na Elizabeth Obadia: Wafanyabiashara wa wa soko la asubuhi la Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita wameuomba uongozi wa mtaa huo kuweka mpangilio mzuri wa soko ili kuwasaidia wao kupata wateja kwa wepesi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wafanyabiashara…