Storm FM

Recent posts

27 April 2021, 2:49 pm

Vijana msibague kazi

Vijana Mkoani Geita wameshauriwa kuacha tabia ya kubagua kazi na badala yeke wajishughulishe na kazi zozote za halali zenye kuwaingizia kipato. Kale Chongela Mwandishi wa Storm FM amepiga Stori na Kijana alieamua kujiajiri kwa utengenezaji wa Bustani na uuzaji wa…

27 April 2021, 2:27 pm

Naomba msaada wa matibabu ya Mtoto wangu.

Na Mrisho Sadick: Kijana Razalo (13) Mkazi wa kijiji Cha Magenge Halmashauri ya wilaya ya Geita anaomba Msaada wa fedha ya  Matibabu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya Moyo, Sikoseli na mshipa wa ngili huku hali ya maisha katika familia…

27 April 2021, 1:53 pm

Mgogoro wa mipaka kikwazo cha Maendeleo

Na Nichoras Paul Lyankando: Matumaini ya kumalizika kwa mgogoro wa mipaka ya kijiji cha lulembela na nyikonga wilayani mbogwe mkoani geita yameanza kuonekana mara baada ya viongozi wa kata husika kuingilia kati. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliowakutanisha wananchi katika…

26 April 2021, 1:53 pm

Wajasiriamali 300 wapatiwa mafunzo Geita

Na Joel Maduka: Wajasiriamali zaidi ya mia tatu waliopatiwa mafunzo na baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi, wametakiwa kutumia ujuzi ambao wamepatiwa kutazama fursa kwenye makapuni mbali mbali na kuachana dhana ya kusubili tenda katika mgodi wa dhahabu wa Geita GGML.…

25 April 2021, 2:27 pm

Shule za Msingi Geita zatakiwa kufanya mijadala

Walimu shule za msingi  katika halmashauri ya mji wa Geita wameshauriwa kuandaa mijadala shuleni baina ya shule jirani ili kuwajengea uwezo wanafunzi wa kujieleza kitaaluma . Ushauri huo umetolewa na Afisa tawala Wilaya ya  Geita  Bw Inocent Mabiki  ambaye alikuwa…

23 April 2021, 6:37 pm

Mtoto azaliwa bila mikono

Na Joel Maduka: Baraka Marko mkazi wa Nemba Wilaya ya Biharamulo amewaomba watanzania wenye mapenzi mema kumsaidia kupata baiskeli  ndogo ya magurudumu matatu ambayo itamsaidia mtoto wake ambaye anaitwa Faraja Baraka aliyemzaa bila ya kuwa na mikono kutokana na sasa…

23 April 2021, 6:15 pm

Vijana washauriwa kutobagua kazi za kufanya Geita

Na Ester Mabula: Vijana mkoani Geita wameshauriwa kujiajiri na kuacha dhana ya kubagua kazi ili kuweza kujipatia maendeleo  na kuendesha maisha yao. Hayo yamebainishwa na baadhi ya vijana walioamua kujiajiri kwa kuunda kikundi cha  kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia vyuma…

23 April 2021, 6:07 pm

Ngo’mbe wawili wamekufa baada ya kunywa maji yenye sumu Geita

Na Kale Chongela: Ng’ombe wawili wamekufa baada ya kunywa maji yenye sumu kutokana na kutapakaa kwa maji yenye sumu yanayo toka katika eneo la uchenjuaji wa madini ya dhahabu    katika mtaa wa Samina Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita…

21 April 2021, 12:00 pm

Wagoma kulinda usiku kwa kuhofia kukamatwa

Na Mrisho Sadick: Mtaa wa Nyamakale uliyopo halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita unakabiliwa na changamoto ya ulinzi shirikishi  kutokana na baadhi ya wakazi wa eneo hilo kushindwa kushiriki kwa madai ya kuogopa kupata matatizo. Wakizungumza na Storm FM…

21 April 2021, 11:48 am

Mtoto wa miezi 7 atupwa kichakani Geita

Na Mrisho Sadick: Mtoto mchanga anaekadiriwa kuwa na umri wa miezi (7) amekutwa ametupwa kwenye kichaka huku akiwa  amefariki katika Mtaa Mtaa wa Nyanza halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita. Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukio hilo wameiambia Storm…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.