Storm FM
Storm FM
16 May 2024, 9:58 am
Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba ameendelea na ziara ya kutembelea wananchi katika maeneo mbalimbali ya wilaya yake ili kusikiliza kero zao. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wakazi wa mamlaka ya mji mdogo wa katoro mkoani…
15 May 2024, 11:25 am
Imezoeleka kuwa mnyamba aina ya Mbwa hutumika kwa shughuli za ulinzi wa mali na binadamu hasa nyakati za usiku pindi walalapo, hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Msufini kata ya Kalangalala katika halmashauri ya mji wa Geita. Na: Amon Mwakarobo…
10 May 2024, 5:30 pm
Mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa inayojihusisha na uchimbaji mdogo, wa kati na mkubwa wa madini ya dhahabu. Licha ya mazingira kuboreshwa ili kufanikisha shughuli za uchimbaji bado kuna changamoto ya baadhi ya watu kuvamia makazi ya watu na…
10 May 2024, 5:18 pm
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita limeketi Mei 8-9, 2024 katika kikao chake cha kawaida kwaajili ya kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za serikali ngazi ya kata kwa kipindi cha januari hadi machi 202 ambapo jumla ya…
10 May 2024, 2:32 am
Kwa zaidi ya miaka 20 daraja la Butobela-Bukoli limekuwa ni kitendawili jambo ambalo lilikuwa likilazimu wananchi kutumia zaidi ya KM 40 kufika Bukoli kwa kutumia njia ya Kahama. Na: Edga Rwenduru – Geita Ujenzi wa daraja linalounganisha kata ya Bukoli…
10 May 2024, 2:03 am
Uwepo wa matukio ya ulawiti na ubakaji huacha hofu na simanzi kwa watoto jambo ambalo baadhi ya wazazi hushindwa kuelewa juu ya hatma za watoto wao katika kutimiza ndoto zao. Na: Evance Mlyakado – Geita Mwalimu mmoja wa shule ya…
9 May 2024, 3:36 am
Tukio la kujeruhiwa mtoto (10) mwenye Ualbino mkazi wa mtaa wa Mtakuja kata ya Katoro wilayani na mkoani Geita limekiibua Chama cha watu wenye Ualbino (TAS) wilaya ya Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Katibu wa TAS wilaya ya Geita…
9 May 2024, 3:04 am
Vituo vya afya na zahanati ndizo ngazi za kwanza za afya zinazoigusa jamii moja kwa moja. Licha ya serikali kuweka mpango wa kurahisisha huduma za afya kwa kuboresha miundombinu, kwa wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa bado ni kitendawili. Na: Evance…
7 May 2024, 5:03 pm
Matukio ya watu wenye ulemavu wa ngozi kushambuliwa yalilitia doa taifa la Tanzania miaka ya nyuma, dalili za vitendo hivyo kuanza tena imeleta taharuki. Na Kale Chongela – Geita Mtoto wa miaka 10 mwenye ulemavu wa ngozi mkazi wa mtaa…
6 May 2024, 5:32 pm
Licha ya dhana ya ulinzi shirikishi na uwepo wa polisi jamii katika mitaa na vijiji vya mkoa wa Geita, bado changamoto ya vibaka na wezi imeendelea kuwatesa wakazi wa Njia panda ya Inyala katika mji mdogo wa Katoro. Na: Evance…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.