Recent posts
3 July 2023, 11:43 am
TRA kuendeleza ushirikiano kwa wanahabari
Na Mrisho Sadick Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na vyombo vya habari kufikisha elimu ya mlipa kodi kwa kuwa idadi kubwa ya wafanyabiashara hususani maeneo ya vijijini hawafikiwi na elimu hiyo mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa…
28 June 2023, 12:42 pm
Idadi ya watalii wa ndani yaongezeka
Na: Kale Chongela: Idadi ya watalii wazawa katika Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato imeendelea kuongezeka kutokana na hamasa inayoendelea kutolewa kwa wananchi ikiwemo filamu ya Royal Tour ambayo imekuwa na msukumo mkubwa kwa wakazi wanaozunguka hifadhi hiyo kutembelea kujionea…
22 June 2023, 12:53 pm
Wafanyakizi Storm FM wafika bungeni Dodoma
Na Mrisho Sadick: Baadhi ya Wafanyakazi wa Storm FM Redio (Sauti ya Geita) leo Juni 22,2023 wametembelea Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kibunge kwa mwaliko wa Mbubge wa Jimbo la Geita mjini Mhe Constantine Kanyasu. Wafanyakazi…
22 June 2023, 8:29 am
Ugonjwa wa ajabu wamtesa Fikiri anaomba msaada wa Matibabu
Na Zubeda Handrish: Fikiri Manyilizu mwenye umri wa miaka (31) Mkazi wa Muleba Mkoani Kagera amemuomba Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu msaada wa matibabu baada ya kuugua ugonjwa wa ajabu ambao umemsumbua kwa muda mrefu. Fikiri anasema katika familia…
27 May 2023, 12:20 pm
Na Mrisho Sadick: Kufuatia Kampeni ya “TUMUWEZESHE” Iliyoratibiwa na Storm FM kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuchangia taulo za kike hatimaye zoezi hilo limefanikiwa kwa kutembelea nakutoa taulo hizo kwa wanafunzi wa kike katika baadhi ya shule zilizopo katika Halmashauri…
4 May 2023, 8:42 am
Wajasiriamali zaidi ya 100 wapata hasara.
Na Kale Chongela: Zaidi ya Wajasiriamali 100 waliopo njia panda mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilaya ya Geita na mkoani Geita wameacha biashara hiyo kutokana na mzunguko kuwa mdogo. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa umoja wa wajasiriamali waliopo katika…
6 January 2023, 10:03 am
Kichanga cha siku 2 chakutwa kimefariki katika dampo la uchafu.
Na Kale Chongela: Katika hali ya kusikitisha kichanga kilichokadiliwa kuwa na siku mbili kimekutwa kimefariki dunia katika dampo la uchafu lililopo katika uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita. Kaimu kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokaji mkoani Geita Inspekta Edward…
6 January 2023, 9:11 am
Wahanga wa shambulio la paka wa ajabu wapata ahueni.
Na Nicolaus Lyankando: Wananchi walioshambuliwa na Paka wa ajabu akiwemo Mtoto mwenye umri wa miaka (5) katika kitongoji cha Kilimahewa Kata ya Lulembela wilayani Mbogwe Mkoani Geita wanaendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Tukio hilo limetokea hivi karibuni katika Kitongoji…
6 January 2023, 9:08 am
Wananchi wa Ilangasika watengua kauli ya kutoshiriki uchaguzi.
Na Said Sindo: Baada ya kilio cha muda mrefu cha Wananchi wa Kijiji cha Ilangasika kilichopo kata ya Lwamgasa katika Jimbo la Busanda baada ya kulalamika kwa muda mrefu juu ya hai mbaya ya barabara na daraja katika kijiji hicho…
6 January 2023, 9:03 am
Watoto wawili wafariki dunia kwa kuzama bwawani.
Na Kale Chongela: Watoto wawili, Jebra Michael mwenye umri wa miaka (3) na Mariam Ndarahwa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Halmashauri ya mji wa Geita wamefariki Dunia kwa kuzama Bwawani wakati wakiwafuata…