Recent posts
17 August 2023, 12:35 pm
Taulo za kike za kushona mkombozi kwa familia masikini
Kundi la watoto wa kike hususani maeneo ya vijijini mkoani Geita linakatisha masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo ya hedhi. Na Mrisho Sadick: Ujuzi wa kushona taulo za kike kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Geita umekuwa…
17 August 2023, 11:57 am
Wananchi wahofia kuporwa ardhi yao na kijiji
Migogoro ya ardhi kwa baadhi ya maeneo wilayani Geita imekuwa mwiba mchungu kwa wananchi hususani vijijini kwakuwa wengi wao hawajui waende wapi wakapate haki zao. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa kijiji cha Salagulwa Kata ya Nyamlolelwa wilayani Geita wameiomba serikali…
16 August 2023, 4:22 am
Waumini TAG Geita washiriki ujenzi wa Kanisa
Linapokuja suala la kuabudu waumini huwa na moyo na msukumo mkubwa katika utekelezaji wa jambo la kiimani, hili limejiri pia katika Kanisa la Chabulongo. Na Kale Chongela- Geita Baadhi ya waumini wa Kanisa la TAG mtaa wa Chabulogo wameshiriki na…
15 August 2023, 1:55 pm
Washindi Dimbani Cup shangwe tu
Wadau wa soka Mkoani Geita wameendelea kuzipongeza taasisi za umma na binafsi kwa kuendelea kuuthamini mchezo wa mpira wa miguu kwa kuandaa mashindano mbaimbali ambayo yamekuwa chachu kwa kuibua vipaji vya vijana. Na Amon Bebe – Geita Baada ya fainali…
14 August 2023, 5:12 pm
Waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa chini ya ardhi kwa siku tisa
Matukio ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kufariki dunia katika Mkoa wa Geita yameendelea kujitokeza mara kwa mara huku sababu ya matukio hayo ikiwa ni uduni wa vifaa wanavyotumia. Na Mrisho Sadick: Wachimbaji wadogo wawili Mpina Shukuru (29) mkazi…
13 August 2023, 12:11 pm
Geita All Stars bingwa Dimbani Cup 2023
Agosti 5, 2023 ligi ya Dimbani Cup ilianza rasmi ikishirikisha timu nane na kuanzia hatua ya mtoano na kukamilishwa na mshindi wakwanza na wapili. Na Zubeda Handrish- Geita Ligi ya Dimbani Cup 2023 inayofanyika chini ya kituo cha redio cha…
12 August 2023, 7:44 pm
Storm FM yampongeza mwandishi wake kushinda tuzo za EJAT
Mkurugenzi wa Kituo cha Redio cha Storm FM ameahidi kuendelea kutoa motisha kwa wafanyakazi wake wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo tuzo. Na Mrisho Sadick: Storm FM imempongeza Mtangazaji na mwandishi wake Said Sindo kwa kushinda tuzo za umahiri za…
10 August 2023, 6:18 pm
Miradi ya bilioni 5.6 yakutwa na mapungufu
Vitendo vya rushwa vimeendelea kuwa na athari kubwa hadi kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa ajili ya wananchi. Na Mrisho Sadick: Miradi 12 yenye thamani ya shilingi Bilioni 5.6 imebainika kuwa na Mapungufu na viashiria vya rushwa wakati…
10 August 2023, 1:03 pm
Nyankumbu Girls yang’ara kuelekea kuanza kwa ligi kuu
Kufuatia uharibu uliofanyika na watu wasiojulikana katika Dimba la Nyankumbu Girls, ukarabati mkubwa umefanyika kwaajili ya klabu ya Geita Gold FC kuutumia kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC. Na Zubeda Handrish- Geita Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2023/24…
9 August 2023, 3:20 pm
Ni Yanga SC au Azam FC kutinga fainali leo?
Darby ya Dar es salaam imeibua hisia za mashabiki wa soka mkoani Geita, na kufunguka timu yenye nafasi zaidi ya kutinga fainali ya Ngao ya Jamii kati ya michezo ya leo. Na Zubeda Handrish- Geita Michuano ya Ngao ya Jamii…