Storm FM

Recent posts

22 April 2024, 5:58 pm

UVCCM Geita yaahidi kusimamia fedha za 10%

Baada ya Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI kutangaza kurejesha mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, UVCCM mkoa wa Geita yaagiza Halmashauri za Geita kutenda haki kwenye utoaji wa mikopo hiyo. Na Kale Chongela…

19 April 2024, 10:25 am

GGML, TAKUKURU zatoa elimu mapambano ya Rushwa

Tanzania inajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa mujibu wa Katiba ya nchi ambapo uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka mitano. Na Adelina Ukugani – Geita Kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa ukaofanyika mwezi…

18 April 2024, 4:51 pm

Maporomoko ya tope Geita yaacha kilio kwa wakulima

Licha ya mvua kuwa ni neema lakini imegeuka kuwa kilio kwa wananchi wengi mkoani Geita kutokana na mvua hiyo kuacha simanzi kila inaponyesha. Na Mrisho Sadick – Geita Zaidi ya Ekari sita za mashamba ya mazao ya chakula na biashara…

16 April 2024, 9:05 pm

Viongozi wa dini waonya serikali kulaumiwa kwa majanga ya asili

Kuendelea kutokea kwa majanga ya asili hapa nchini baadhi ya wananchi wameanza kuinyoshea kidole serikali huku baadhi ya viongozi wa dini wakionya. Na Nickolaus Lyankando – Geita Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kuilaumu serikali kutokana na majanga ya asili ambayo…

16 April 2024, 3:49 pm

Kufariki kwa mjamzito Busanda wananchi waiangukia serikali

Uhaba wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Geita umeendelea kusababisha changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya akina mama wajawazito na watoto. Na Edga Rwenduru – Geita Wakazi wa kijiji cha Lubanda kata ya Busanda wilayani na…

15 April 2024, 5:11 pm

TADIO yazipiga msasa redio 10 za kijamii

Redio za kijamii zimekuwa na manufaa makubwa hapa nchini kwa kuwa zinajikita kuangazia changamoto za wananchi moja kwa moja katika maeneo husika na kuzifikisha kwa mamlaka husika ili zipatiwe ufumbuzi. Na Mrisho Sadick: Jukwaa la Redio za Kijamii Tanzania TADIO…

15 April 2024, 3:11 pm

Mvua yaua watoto wa familia moja Geita

Watoto mkoani Geita wamekuwa wahanga huku wengine wakipoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Na Mrisho Sadick – Geita Watoto wawili wa familia moja katika kijiji cha Nyakabale Kata ya Mgusu wilayani na Mkoani Geita wamefariki dunia baada ya kusombwa…

13 April 2024, 3:12 pm

Wajasiriamali wa soko la Lukilini kujengewa vizimba 50

Wafanyabiashara walio wengi hasa wale walioko katika maeneo ya vijijini au nje ya miji hukabiliwa na changamoto ya miundombinu duni ya kufanyia biashara zao Na Kale Chongela – Geita Baadhi ya wajasiriamali waliopo soko la Lukilini Mtaa wa Mkoani Kata…

13 April 2024, 1:55 pm

Wanawake Nyankumbu waondokana na adha ya kujifungulia njiani

Changamoto ya wanawake kujifungulia njiani imekuwa ikiripotiwa kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu huku sababu mbalimbali ikiwemo Umbali, uchumi na miundombinu duni katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za afya zikihusishwa kupelekea hali hiyo kutokea. Na Mrisho Sadick…

13 April 2024, 2:35 am

Wananchi washirikiana kuziba chanzo cha mafuriko

Uduni wa miundombinu ya barabara imekuwa ikichangia athari mbalimbali ambazo zimekuwa zikisababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Geita Na Kale Chongela – Geita Baada ya mafuriko kuikumba mitaa mbalimbali ya mkoa geita kutokana na mvua iliyonyesha siku ya April 7,…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.