Recent posts
26 May 2024, 4:42 pm
Waziri Mkuu kutua Geita mwezi Juni
Ili kuongeza ufanisi na wigo katika ukusanyaji wa mapato serikali imeendelea kuanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kutengeneza walipa kodi wapya kupitia vituo hivyo. Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anatarajia…
24 May 2024, 1:45 pm
GGML inavyoshirikisha wazawa katika uchimbaji endelevu wa madini
Msukumo wa serikali wa kushirikisha wazawa katika mnyororo wa fursa kwenye sekta ya madini umezidi kuleta matokeo chanya kwa Watanzania kutokana na maboresho ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017/2018 na marekebisho yake yaliyofuata mwaka 2019. Na Gabriel Mushi Mkakati…
18 May 2024, 2:21 pm
DED, RMO, DC Geita waongoza mazoezi ya viungo
Wilaya ya Geita imeendelea na ufanyaji mazoezi ya viungo vya mwili tangu utaratibu huo ulivyoanzishwa na DC Hashim Komba yakiwakutanisha watu mbalimbali. Na: Juma Zacharia – Geita Mazoezi hayo yaliyopewa jina la “Geita Fitness Time” yameanzia Nyankumbu senta hadi uwanja…
18 May 2024, 12:21 pm
TANROADS Geita yatimiza ahadi Nyantorotoro
Ikiwa ni muda wa wiki moja sasa tangu wananchi wa Nyantorotoro A kuamua kufunga barabara kuu ili kushinikiza matengenezo ya barabara hiyo hatimaye TANROADS wafanya marekebisho. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa mtaa wa Nyantorontoro A ulipo kata ya…
17 May 2024, 10:16 am
Wadaiwa sugu wa pango la ardhi kufikishwa mahakamani Geita
Serikali mkoani Geita imekusudia kuwafikisha mahakamani wadaiwa sugu walioshindwa kulipa kodi ya pango la ardhi kwa hiari huku ikiwataka kulipa madeni yao ndani ya siku 30 ili kuepuka mkono wa sheria. Kauli hiyo imetolewa na kamishna msaidizi wa ardhi mkoa…
17 May 2024, 9:53 am
Bilioni moja kumaliza adha ya maji Nyarugusu
Changamoto ya upatikanaji wa maji safi bado ni changamoto kwa wananchi hususani wanaoishi vijijini huku serikali ikiendelea kukabiliana na changamoto hiyo. Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa Kata ya Nyarugusu wilayani Geita wanatarajia kuondokana na changamoto ya kuchangia maji…
17 May 2024, 9:32 am
Vitendo vya ulawiti watoto tishio Geita
Vitendo vya ukatili kwa watoto Geita ikiwemo ulawiti vimeendelea kushika kasi huku mamlaka zikiombwa kuendelea kuchukua hatua kali ili kuvikomesha. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la polisi mkoani Geita limetoa tahadhari juu ya ongezeko la vitendo vya ulawiti kwa…
16 May 2024, 9:58 am
Wananchi walia na mikopo kausha damu Katoro
Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba ameendelea na ziara ya kutembelea wananchi katika maeneo mbalimbali ya wilaya yake ili kusikiliza kero zao. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wakazi wa mamlaka ya mji mdogo wa katoro mkoani…
15 May 2024, 11:25 am
Wananchi wahofia usalama baada ya mbwa wa ulinzi kuuliwa Msufini
Imezoeleka kuwa mnyamba aina ya Mbwa hutumika kwa shughuli za ulinzi wa mali na binadamu hasa nyakati za usiku pindi walalapo, hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Msufini kata ya Kalangalala katika halmashauri ya mji wa Geita. Na: Amon Mwakarobo…
10 May 2024, 5:30 pm
Wadaiwa kuvamia makazi ya watu na kuanza uchimbaji wa madini
Mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa inayojihusisha na uchimbaji mdogo, wa kati na mkubwa wa madini ya dhahabu. Licha ya mazingira kuboreshwa ili kufanikisha shughuli za uchimbaji bado kuna changamoto ya baadhi ya watu kuvamia makazi ya watu na…