Recent posts
6 December 2024, 4:54 pm
DC Geita atoa maelekezo ya utendaji kwa wenyeviti
Mkuu wa wilaya ya Geita ametoa mwongozo wa kiutendaji kwa wenyeviti kutoka kata 13 za halmashauri ya mji wa Geita na kata 37 za halmashauri ya wilaya ya Geita. Na: Ester Mabula – Geita Mkuu wa Wilaya ya Geita, Hashim…
6 December 2024, 9:57 am
Mpangaji aezuliwa paa kwa kushindwa kulipa kodi Geita
Janeth Thomas mkazi wa mtaa wa Buchundwankende kata ya Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita amebaki njia panda baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuezuliwa paa na mwenye nyumba wake kwa madai kuwa hajalipa kodi ya kwa muda wa miezi mitano.…
5 December 2024, 12:49 pm
Wazazi walaani tukio la mtoto kuchomwa moto Kasota
Matukio ya ukatili kwa watoto bado ni pasua kichwa, jamii yatakiwa kushikamana ili kukomesha kabisa vitendo hivyo. Na: Sammy Manilaho – Geita Wakazi wa halmashauri ya mji wa Geita wamelaani vikali tukio la mama kumchoma moto mtoto wake kwa kutumia…
5 December 2024, 12:40 pm
GGML kuendelea kuwajibika kwa jamii Geita
GGML yasema bado iko bega kwa bega na wananchi kwa kushiriki katika shughuli mbalimba za maendeleo katika jamii bila kuchoka. Na Mrisho Sadick: Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umewahakikishia wananchi wa mkoa wa Geta kuwa utaendelea kuwajibika ipasavyo…
5 December 2024, 12:27 pm
Wakulima wageuka mbogo Geita
Serikali imetakiwa kutatua migogoro mapema kabla ya watu kuanza kujichukulia sheria mkononi hali ambayo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Na Kale Chongela: Wakulima wa Kata ya Bombambili halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka…
5 December 2024, 9:48 am
Wivu wa mapenzi wapelekea nyumba kuchomwa moto Mgusu
Wivu wa mapenzi umeendelea kutajwa kuwa chanzo cha migogoro ya kifamilia ambayo inapelekea madhara mbalimbali ikiwemo uharibifu wa mali. Na: Edga Rwenduru – Geita Nyumba ya Michael Joseph Nzumbi mkazi wa mtaa wa Mgusu kata ya Mgusu wilayani na mkoani…
3 December 2024, 2:58 pm
Mtoto (9) amwagiwa petroli na kuchomwa na mama yake kisa 800
Mtoto wa kiume (9) mkazi wa kijiji cha Kasota kata ya Bugulula halmashauri ya wilaya ya Geita amejeruhiwa na mama yake mzazi baada ya kumwagiwa mafuta ya petroli kisha kumchoma moto kwa madai ya kuiba shilingi 800. Na: Edga Rwenduru…
3 December 2024, 12:43 pm
Maambukizi ya VVU yapungua mkoa wa Geita
Siku ya UKIMWI duniani huadhimishwa kila Disemba 01, kila mwaka ili kuhamasisha watu umuhimu wa kupima, kujikinga, na kutoa msaada kwa watu wanaoishi na maambukizi ya VVU. Na: Kale Chongela – Geita Hali ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoa…
28 November 2024, 3:10 pm
Wasafirishaji abiria kwa boti wasisitizwa kuzingatia sheria
Baadhi ya maeneo mkoani Geita yamekuwa na shughuli mbalimbali za majini ikiwemo uvuvi pamoja na kusafirisha abiria kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na: Edga Rwenduru – Geita Wamiliki wa boti za abiria zinazofanya safari kutoka kata ya Nkome mkoani Geita…
28 November 2024, 10:30 am
Shule ya sekondari Bugalama wapanda miti 500 kutunza mazingira
Serikali na wadau mbalimbali wa mazingira wameendelea kuhamasisha jamii juu ya upandaji miti ambapo kwa mujibu wa wataalam wanaeleza kuwa miti imekuwa na faida nyingi katika kutunza mazingira. Na: Kale Chongela – Geita Uongozi wa shule ya sekondari Bugalama iliyopo kata ya…