Storm FM

Recent posts

3 July 2024, 9:58 am

Ashangaza majirani kwa kuhifadhi taka ndani Msalala Road

Suala la usafi wa mazingira ni jambo ambalo linahimizwa na viongozi kwa jamii kuzingatia ili kuweza kujiepusha na maradhi mbalimbali. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja kwa jina Elia Mayoyo (51) mkazi wa mtaa wa Msalala Road halmashauri ya…

1 July 2024, 3:47 pm

Matibabu bure kwa wazee bado kizungumkuti

Sera ya matibabu bure kwa wazee nchini bado inagubikwa na vikwazo mbalimbali ambapo walengwa ambao ni wazee mkoani Geita wameeleza changamoto wanazopitia. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya wazee wanaoishi katika kata za Kalangalala, Mtakuja na Bombambili katika halmashauri…

1 July 2024, 10:32 am

Wananchi Sungusira waomba zahanati ianze kazi

Ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Sungusira kata ya Nzera halmashauri ya wilaya ya Geita unatarajiwa kuondoa adha ya kutembea umbali mrefu kwa wananchi wa eneo hilo kufuata huduma za afya katika vijiji jirani. Na:Evance Mlyakado -Geita Wananchi wa kijiji…

27 June 2024, 4:14 pm

Makampuni ya ulinzi Geita yatakiwa kuhakikiwa

Jeshi la polisi mkoani Geita limeagiza madiwani wote katika halmashauri zote za mkoa wa Geita kuhakikisha wanahakiki makampuni ya ulinzi yaliyopo katika maeneo yao ili kuepukana na vitendo vya uhalifu. Na: Edga Rwenduru – Geita Hayo yamebainishwa na Kamanda wa…

27 June 2024, 2:21 pm

Sakata la mgomo wafanyabiashara lafika Katoro Geita

Sakata la mgomo kwa wafanyabiasha lililoanzia soko la kariakoo jijini Dar es salaam limeendelea kuchukua sura mpya katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Na: Evance Mlyakado – Geita Wafanyabiashara wa Mamlaka ya mji mdogo wa Katoro mkoani Geita jana Juni 26,…

25 June 2024, 1:12 pm

Watu wanne wakamatwa na mali za wizi Geita

Licha ya jitihada za Jeshi la polisi mkoani Geita kuendelea kuimarisha ulinzi, bado vitendo vya wizi na uporaji vinaendelea kujitokeza katika baadhi ya maeneo mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Watu wanne akiwemo Ezekieli Misalaba maarufu kama ‘Mr. Masamaki”…

25 June 2024, 11:45 am

TUWALEE KWA PAMOJA yasaidia wahitaji mjini Geita

Kikundi cha TUWALEE kilichopo mjini Geita kimetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa makundi ya watu wenye uhitaji mkoani Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Kikundi hicho chenye zaidi ya wanawake 30 ambao ni wafanyabiashara na wajasiriamali kimetoa msaada huo Juni…

24 June 2024, 4:33 pm

Mwenyekiti mtaa wa Mwatulole auwawa na watu wasiojulikana

Matukio ya ukatili ikiwemo vitendo vya mauaji bado ni changamoto kwa baadhi ya mkoani Geita hali inayozua hofu kwa wananchi. Na: Kale Chongela – Geita Mwenyekiti wa mtaa wa Mwatulole uliopo kata ya Buhalahala mjini Geita, Noel Ndasa ameuawa kwa…

24 June 2024, 7:34 am

CCM yaagiza viongozi wazembe washughulikiwe Geita

Viongozi wazembe wanaokwamisha miradi na wenye dharau wamekalia kuti kavu mkoani Geita baada ya katibu wa NEC kuagiza wasakwe na wachukuliwe hatua. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Organization na mlezi wa CCM Mkoa wa Geita Issa Haji Ussi GAVU…

22 June 2024, 3:33 pm

DC Geita akemea migogoro ya wakulima na wafugaji

Migogoro ya wakulima na wafugaji hutajwa kuwa chanzo cha kurudisha nyuma maendeleo katika jamii za wafugaji na wakulima, jambo ambalo viongozi hukemea vikali. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja mjini Geita wameiomba serikali…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.