Recent posts
2 September 2024, 11:36 am
Mtoto (6) afariki bwawani akivua samaki Lulembela
Uhai wa mtoto Rashid Paul wakatishwa baada ya kuzama kwenye bwawa la maji ya umwagiliaji na kunyweshea mifugo Na Evance Mlyakado- Geita Mtoto wa kiume Rashid Paul John mwenye umri wa miaka 6 katika kitongoji cha Ilyamchele, kijiji cha Kabanga…
1 September 2024, 9:11 pm
TAMISEMI yatoa maagizo kwa mkandarasi Geita
Kusuasua kwa mkandarasi anaetekeleza ujenzi wa mradi wa TACTIC wa barabara zenye urefu wa kilometa 17 TAMISEMI yatoa tamko. Na Evance Mlyakado – Geita. Licha ya serikali kutenga bajeti ya zaidi ya bilioni 22 kwaajili ya ujenzi wa barabara zenye…
1 September 2024, 8:45 pm
Akiba atelekeza mke na watoto watatu
Licha ya serikali kuendelea kupambana kukomesha vitendo vya ukatili katika jamii lakini vitendo hivi vinaonekana kuendelea kujitokeza katika maeneo mengi hasa ya vijijini Mkoani Geita Na Evance Mlyakado -Geita. Mwanaume mmoja mkazi wa Nyantorotoro A anadaiwa kutekeleza Familia ya Mama…
28 August 2024, 1:50 am
Watatu wahukumiwa kifo mauaji ya Milembe Geita
Washtakiwa watatu kati ya wanne (wa kwanza kulia, wa kati na dada wa nyuma) waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43) wametiwa hatiani kwa kutenda kosa hilo na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa. Na: Daniel Magwina – Geita…
26 August 2024, 3:02 pm
Wadau Geita wapongeza mfumo mpya wa NECTA
Wanafunzi wa darasa la 7 kote nchini wanatarajia kuanza kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu hiyo septemba 11 na 12 mwaka huu. Na: Ester Mabula – Geita Mkurugenzi wa shule ya awali na msingi Kadama Bi. Leticia Pastory amesema…
22 August 2024, 4:45 pm
CCM wilaya ya Geita yatoa tamko ufatiliaji wa miradi
CCM wilaya ya Geita kuwachukulia hatua baadhi ya wajumbe ambao wamekuwa wakitumia pikipiki za chama hicho kusafirisha abiria jambo ambalo ni kinyume na malengo. Na: Kale Chongela – Geita Katibu wa CCM wilaya ya Geita ndugu Marko Msuya leo Agosti 22,…
22 August 2024, 3:56 pm
Inatisha, avunjika uti wa mgongo, aomba msaada
Annastazia Jacob (22) mkazi wa kijiji cha Mabamba, kata ya Nyamigota ndani ya mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani na mkoani Geita anapitia maumivu makali na mateso baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na: Evance Mlyakado – Geita…
21 August 2024, 4:24 pm
Mkoa wa Geita wavuka lengo zoezi la uandikishaji
Wananchi mkoani Geita wameitikia wito kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji a uboreshaji wa taarifa za mpiga kura mkoani Geita. Na: Kale Chongela – Geita Mkoa wa Geita umevuka lengo katika zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu…
17 August 2024, 1:19 pm
Mikopo yenye riba nafuu kuwainua wananchi Geita
Kufuatia kukua na kuimarika kwa maendeleo ya teknolojia nchini kumewezesha wananchi wengi kupata huduma za kibenki kwa njia salama na kuwa na uhakika wa usalama wa fedha zao. Na: Kale Chongela – Geita Afisa mtendaji mkuu wa Benki ya mwalimu…
16 August 2024, 1:49 pm
Dereva anusurika kifo baada ya kujeruhiwa na wasiojulikuana Geita
Matukio ya madereva pikipiki maarufu bodaboda kuvamiwa na kujeruhiwa huku baadhi yao wakiporwa pikipiki yanaacha hofu kwa madereva huku wakiomba mamlaka za serikali kuwasaidia. Na: Amon Mwakalobo – Geita Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Issa Lameck mkazi wa kata…