Recent posts
8 September 2024, 3:41 pm
Wakazi Chibingo watoa eneo kwa ajili ya shule
Wakazi wa kijiji cha Chibingo, kata ya Nyamigota wilaya na mkoani Geita wamejitolea eneo lao kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa shule ya sekondari. Wananchi wa kijiji cha Chibingo wamehamasika kushiriki katika usafi wa eneo hilo ambapo itajengwa shule itakayohusisha…
6 September 2024, 4:32 pm
Walimu wa MEMKWA Geita waomba vifaa
Serikali imeendelea kutoa fursa za watoto pamoja na watu wazima kujiendeleza kimasomo kupitia mipango ya MEMKWA, SEQUIP na MUKEJA ili kuweza kuwasaidia kupata ujuzi. Na: Edga Rwenduru – Geita Walimu wanaofundisha elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo…
6 September 2024, 4:13 pm
Mbuzi wa supu waibwa Geita
Watu wasiojulikana katika mtaa wa Mkoani mjini Geita wameiba mbuzi na kutokomea kusikojulikana jambo ambalo linarudisha nyuma jitihada za wananchi wafugaji. Na: Kale Chongela – Geita Wafugaji wa mbuzi waliopo katika mtaa wa mkoani kata ya kalangalala halmashauri ya mji…
6 September 2024, 7:53 am
Maulid kitaifa kufanyika mkoani Geita
Sherehe za Maulid ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume uhammad (SAW) ambayo huadhimishwa kila mwaka katika mwezi wa Rabiul Awwal kwenye kalenda ya kiislamu ambapo siku hii ilianza rasmi kusheherekewa katika karne ya 12. Na: Kale Chongela – Geita Baraza…
6 September 2024, 7:32 am
Mkandarasi atelekeza mradi wa maji Katoro
Serikali kupitia wakala wa usambazaji maji vijijini (RUWASA) imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji ili kuondoa changamoto kwa wananchi katika wilaya ya Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba amefanya ziara ya kukagua miradi…
5 September 2024, 3:42 pm
Wananchi wakerwa kusuasua ujenzi wa barabara
Kusuasua kwa ujenzi wa barabara yenye urefu wa mita 600 mkabala na kituo kikubwa cha magari ya abiria mjini Geita hadi soko la Mbagala kunatajwa kuongeza changamoto. Na: Kale Chongela – Geita Akizungumza kwa niaba ya madereva wenzake ambao hutumia barabara…
2 September 2024, 1:58 pm
Wakulima wa Alizeti Geita mjini wapigwa msasa
Safina ya idara ya vijana imeendelea kutoa mafunzo na elimu kwa makundi mbalimbali ya watu ili kuwasaidia kujikwamua katika shughuli zao za kiuchumi. Na: Kale Chongela – Geita Ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita kwa kushirikiana na…
2 September 2024, 1:31 pm
Rashi eneo la Mabunduki yanufaisha kijiji cha Nyakagwe
Geita ni mkoa ulioko kaskazini-magharibi mwa Tanzania ambao ni maarufu kwa uchimbaji wa madini ya dhahabu ambapo vijana wengi wamejiajiri hasa kupitia uchimbaji mdogo wa madini ili kuendesha maisha yao. Na: Ester Mabula – Geita Kijiji cha Nyakagwe kilichopo kata…
2 September 2024, 11:36 am
Mtoto (6) afariki bwawani akivua samaki Lulembela
Uhai wa mtoto Rashid Paul wakatishwa baada ya kuzama kwenye bwawa la maji ya umwagiliaji na kunyweshea mifugo Na Evance Mlyakado- Geita Mtoto wa kiume Rashid Paul John mwenye umri wa miaka 6 katika kitongoji cha Ilyamchele, kijiji cha Kabanga…
1 September 2024, 9:11 pm
TAMISEMI yatoa maagizo kwa mkandarasi Geita
Kusuasua kwa mkandarasi anaetekeleza ujenzi wa mradi wa TACTIC wa barabara zenye urefu wa kilometa 17 TAMISEMI yatoa tamko. Na Evance Mlyakado – Geita. Licha ya serikali kutenga bajeti ya zaidi ya bilioni 22 kwaajili ya ujenzi wa barabara zenye…