Storm FM
Storm FM
3 April 2026, 18:20

Na: Ester Mabula
Karibu kusikiliza kipindi maalumu kinachoabgazia masuala ya usawa wa kijinsia ambapo leo mada inaangazia usawa wa kiuchumi ndani ya familia.
Swali kuu: Nini sababu ya baadhi ya wanaume kuuza mazao ya familia na kukimbia majukumu yao?
Kipindi hiki kinapewa nguvu na chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM.