Storm FM

Yapi madhara vijana kutumika vibaya kwenye siasa?

16 July 2025, 6:14 pm

Msikilizaji na mdau wa Storm FM Sauti ya Geita karibu kusikiliza Makala ya Tafakari Pevu inayoangazia madhara ya vijana kutumika vibaya kwenye siasa kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Makala hii imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM

Sauti ya Makala ya Tafakari Pevu