Storm FM
Storm FM
2 July 2025, 8:04 pm

Karibu kusikiliza taarifa ya Habari ya Jioni Ripoti leo Julai 02,2025 miongoni mwa taarifa zilizogonga vichwa vya habari zaidi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa atangaza kutogombea Ubunge.
Msomaji ni Mrisho Sadick