Storm FM
Storm FM
25/07/2023, 17:46
Kutokana na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji hali ambayo imekuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji jambo hilo limepongezwa na viongozi wa dini. Na Mrisho Sadick: Viongozi wa dini mkoani Geita wameipongeza serikali ya…
25/07/2023, 17:26
Wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita wamejitokeza katika viwanja vya Mashujaa kuadhimisha kumbukumbu ya mashujaa waliojitoa maisha yao kwa ajili ya watanzania. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe Martin Shigela amesema mkoa wa Geita utaendelea…
24/07/2023, 13:38
Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Katoro wilayani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea bweni ambalo limegharimu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 150. Serikali imeendelea kuboresha mazingira kwa wanafunzi wenye…
24/07/2023, 13:19
Uhitaji wa damu salama katika Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita ni Mkubwa kuliko inayopatikana kutoka kwa watu wanaochangia. Na Kale Chongela: Mwitikio wa wananchi kuchangia damu salama bado ni Mdogo ukilinganisha na uhitaji katika Hospitali ya…
24/07/2023, 09:12
Tuzo za EJAT hutolewa kila mwaka, huku mwaka 2022 matukio ya mauaji ya walinzi mkoani Geita, yalimuinua Said Sindo kuandaa kipindi na kushindania tuzo hiyo. Na Zubeda Handris- Geita Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kipindi cha Storm Asubuhi, Said Ally…
23/07/2023, 14:30
Matukio ya kiuhalifu na kujichukulia sheria mkononi yamekithiri katika baadhi ya mitaa mkoani Geita, jambo linalosababisha baadhi ya vifo kutokea, huku wananchi wakishindwa kutoa taarifa katika vyombo husika juu ya uhalifu huo. Na Zubeda Handrish- Geita Katika hali ya kusikitisha…
21/07/2023, 11:30
Wakati Dira ya Taifa ya mwaka 2025 ikiwa inaelekea ukingoni, wananchi mkoani Geita wameeleza mafanikio makubwa huku wakiipongeza serikali kwa kuwashirikisha. Na Mrisho Sadick Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025 inayotegemewa kumalizika 2025 imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kusogeza…
20/07/2023, 14:20
Mkurugenzi wa umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini (UTPC) Kenneth Simbaya ametoa wito kwa klabu zingine nchini kuiga uanzishaji wa miradi ya kujiingizia kipato kama klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Geita kwa kuanzisha mradi wa pikipiki.…
20/07/2023, 11:05
Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita yajipanga kuupokea mwenge wa uhuru kwa kuanza ukaguzi katika miradi yote itakayopitiwa. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigela ameiongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa, Kamati ya Ulinzi na Usalama…
19/07/2023, 18:23
Inadaiwa kuwa utandawazi ni moja ya njia inayopelekea mila na desturi za kiafrika kusahaulika, na watu wa tamaduni hizo kufuata mambo ya kigeni, hilo limewainua CHAMIJATA kusimama kidete katika kuzilinda tamaduni hizo. Na Kale Chongela- Geita Katika kuendelea kuboresha utamaduni…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.