Recent posts
28 August 2023, 9:07 am
Wananchi zaidi ya laki 6 wanufaika na mradi wa maji Geita
Changamoto ya kupatikana kwa maji safi na salama vijijini, imechangia kwa kiasi kikubwa mradi wa maji wa miji 28 kuanzishwa.Na Adelina Ukugani- GeitaJumla ya wakazi laki sita na thelathini na nane mia tatu na ishirini na mbili (638,322 ) wanatarajia…
27 August 2023, 12:33 pm
Wananchi mamlaka ya mji mdogo Katoro walia na TARURA
Changamoto ya barabara za mitaa katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro imekuwa ya muda mrefu kiasi cha wananchi wa eneo hilo kuibuka tena na kutoa ya moyoni. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya wananchi wa kata ya Ludete katika…
25 August 2023, 9:08 am
Bei ya nafaka yapanda Geita
Kupanda kwa bei ya nafaka imechangia kupungua kwa kasi ya biashara katika soko la Nyankumbu mjini Geita.Na Adelina Ukugani- Geita Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la asubuhi la Nyankumbu mjini Geita wamelalamikia kupanda kwa bei ya mazao hayo hali inayochangia…
24 August 2023, 8:30 pm
Geita Gold Queens yakwama, wadau waombwa msaada
Ukata wa kifedha umekuwa changamoto kubwa kwa klabu mpya ya ligi kuu ya wanawake ya Geita Gold Queens ya hapa mkoani Geita, na kumuinua Mwenyekiti wa Chama cha Soka Geita kuwaomba wadau msaada. Na Zubeda Handrish- Geita Klabu ya wanawake…
23 August 2023, 8:19 pm
Neema ya maji yawafikia wananchi wa Chabulongo
Kukosekana kwa maji katika kijiji cha Chabulongo kumewatia moyo viongozi wa Kanisa la TAG Chabulongo kutoa msaada. Na Kale Chongela-Geita Wakazi zaidi ya 360 kunufaika na mradi wa maji katika mta wa Chabulongo, kata ya Bung’hwangoko mradi ambao umefadhiliwa na…
23 August 2023, 11:55 am
Maji ya chumvi ni kero, mkuu wa wilaya atolea ufafanuzi
Changamoto ya maji safi na salama bado ni changamoto katika baadhi ya wilaya mkoani Geita, Licha ya ukosefu wa maji akini pia chumvi ipo. Na Kale Chongela- Geita Wananchi wa Kijiji na Kata ya Bumwang’oko Halmashauri ya mji wa Geita,…
21 August 2023, 9:06 am
Vibubu vyaboreshwa kuendana na soko
Inadaiwa kibubu hakiwezi kutoa usalama wa moja kwa moja kama benki, huku kikidaiwa kupoteza fedha zilizohifadhiwa ndani yake , hili limewainua wauza vibubu na kutolea ufafanuzi. Na Zubeda Handrish- Geita Mfanyabiashara wa Vibubu katika soko la Nyankumbu la jioni amezungumzia…
20 August 2023, 9:58 pm
Watoa huduma afya ya kinywa na meno waja na mpango
Afya ya kinywa na meno ni muhimu katika maendeleo ya taifa, kwani bila ya afya njema hata utendaji hautawezekana. Na Zubeda Handrish- Geita Mganga Mkuu wa mkoa wa Geita (RMO) Omari Sukari amewataka wataalamu na watoa huduma katika kitengo cha…
18 August 2023, 6:08 am
Waliotiririsha maji taka barabarani Geita wapigwa faini
Uchafuzi wa mazingira ni kikwazo kwa maendeleo ya mitaa kwani ni chanzo pia cha magonjwa ya mlipuko. Na Kale Chongela- Geita Wakazi wawili mmoja akijulikana kwa jina la Mama Nelson wakazi wa Mtaa wa Ujamaa Halmashauri ya Mji wa Geita…
17 August 2023, 1:12 pm
Ubovu wa barabara wawaibua wananchi Ikunguigazi Geita
Kuelekea msimu mpya wa mvua wananchi wilayani Mbogwe wamezihofia barabara zao zikiwemo zilizotelekezwa kwa muda mrefu huenda zikawapa changamoto iwapo hazitafanyiwa marekebisho. Na Nicholous Lyankando: Wananchi wa vijiji vya Ikunguigazi na Nyikonga wilayani Mbogwe mkoani Geita wamesikitishwa na kitendo cha…