Storm FM
Storm FM
19 November 2024, 8:33 pm
Nguvu ya umma imeendelea kurejesha tabasamu kwa Annastazia aliekata tamaa ya maisha nakutamani afe baada ya kuvunjika uti wa mgogo wakati akichuma maembe juu ya mti Na Mrisho Sadick: Annastazia Jackobo mkazi wa kijiji cha Inyala Kata ya Nyamigota wilayani…
19 November 2024, 12:01 pm
Baada ya mchakato wa kuwasilisha rufaa kupinga kuenguliwa kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa hatimae mbivu na mbichi zimejulikna Na Edga Rwenduru: Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amesema walipokea jumla ya…
19 November 2024, 10:53 am
Vilio vya wananchi kwa serikali juu ya kuongezeka kwa wimbi la vijana wezi katika mtaa wa Ibolelo Mwabasabi Kata ya Nyankumbu mjini Geita. Na Kale Chongela: Wakazi wa Nyamakale Mtaa wa Ibolelo maarufu kwa jina la Mwabasabi Kata ya Nyankumbu…
18 November 2024, 6:16 pm
Katika jamii hususani mikoa ya kanda ya ziwa bado kuna changamoto ya watoto wenye ulemavu kuendelea kufichwa huku imani potofu ikitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick: Kanisa Katoliki Jimbo la Geita kwa kushirikiana na mgodi wa GGML limefanikiwa kuwaibua watoto…
14 November 2024, 12:24 pm
Uduni wa miundombinu umetajwa kuwa changamoto ya kituo kikuu cha mabasi ya abiria mjini Geita kuzingirwa na maji kila msimu wa mvua huku mikakati ya kutatua changamo hiyo ikiwekwa. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya mji wa Geita kukumbwa…
14 November 2024, 10:16 am
Madereva pikipiki mkoa wa Geita wameendelea kusisitizwa kuzingatia usafi hali ambayo inapelekea baadhi ya maegesho kuweka sheria ndogo ndogo ili kuzingatia hilo. Na: Kale Chongela – Geita Madereva pikipiki waliopo katika egesho la Mpomvu A kata ya Mtakuja halmashauri ya…
12 November 2024, 7:31 pm
Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa linaendelea kupanda kadri siku zinavyozidi kusogea ambapo katika halmashauri ya mji wa Geita kumedaiwa uwepo wa vitisho kwa watendaji. Na Mrisho Sadick: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita mjini Yefred Myenzi amekemea vikali…
12 November 2024, 7:30 pm
Msukumo alioufanya mbunge wa Jimbo la Geita mjini kwa serikali juu ya usambazaji wa umeme katika eneo hilo umewakosha madiwani nakulazimika kumpongeza. Na Mrisho Sadick: Baraza la madiwani la Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita limesimama kwa dakika moja…
12 November 2024, 3:28 pm
Jumla ya wananchi 226 katika kata ya Mwingiro wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita wamelipwa fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 7.2 kutokana na maeneo yao kuchukuliwa na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa zaidi ya miaka 20 . Na: Kale Chongela – Geita…
11 November 2024, 1:33 pm
Katika kuhakikisha mfumo wa M-MAMA unatoa huduma kwa tija, waandishi wa habari kutoka redio za kijamii kanda ya ziwa wamejengewa uwezo namna unavyofanyakazi ili kuwaambia wananchi. Na Daniel Magwina: Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba ametoa wito kwa…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.