Storm FM
Storm FM
28 January 2025, 12:31 pm
Licha ya serikali kupitia wizara ya Afya kusisitiza juu ya umuhimu wa kila kaya kuwa na choo bora, bado utekelezaji wa agenda hii umekuwa wa kusua sua. Na: Amon Mwakalobo – Geita Wapangaji wanaoishi kwenye nyumba moja iliyopo maeneo ya…
28 January 2025, 10:15 am
Januari 27, 2025 mvua iliyoambatana na radi imenyesha katika baadhi ya maeneo mkoani Geita na kupelekea athari mbalimbali ikiwemo vifo. Na: Ester Mabula – Geita Wanafunzi saba katika shule ya sekondari Businda iliyopo kitongoji cha Shikaliguga kata ya Ushirombo wilayani…
27 January 2025, 1:30 pm
Matukio ya waendesha pikipiki kujeruhiwa na kuporwa vifaa vyao vya kazi yanaendelea kuzua sintofahamu na swali likiwa nani kutegua kitendawili hicho. Na: Edga Rwenduru – Geita Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa 20 hadi 25 ambaye ni dereva pikipiki maarufu…
25 January 2025, 3:26 pm
Jumla ya mashauri 282 yalifunguliwa mwaka jana 2024 tangu kuanzishwa kwa mahakama kuu ya Tanzania masjala ndogo ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya mashauri 282 yalifunguliwa mwaka jana 2024 tangu kuanzishwa kwa mahakama kuu ya Tanzania masjala ndogo ya…
23 January 2025, 5:27 pm
Gari dogo lenye namba za usajili T 205 DSV limegonga nyumba mbili katika mtaa wa Mwabasabi kata ya Nyankumbu manispa ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Ajali hiyo imetokea leo Januari 23, 2025 ambapo mmiliki wa nyumba mojawapo iliyoharibiwa katika…
23 January 2025, 4:21 pm
“Tunaishukuru serikali kwa kuweza kumuua mnyama huyu maana ilikuwa ni changamoto kubwa tukiishi kwa uoga”- mwananchi Itale Na: Edga Rwenduru – Geita Mnyama Kiboko aliyekuwa anaua mifugo na kuharibu mazao ya wananchi wa kijiji cha Itale kata ya Katoma halmashauri…
23 January 2025, 12:22 pm
Licha ya serikali kukemea vitendo vya ukatili, bado matukio hayo yameendelea kujitokeza na kuacha maswali mengi kwa wananchi juu ya nini mwarobaini wa ukatili. Na: Amon Mwakalobo – Geita Kijana mmoja wa umri wa miaka 25 kutoka mtaa wa Msalala…
22 January 2025, 2:59 pm
Baadhi ya wananchi wamelalamikia hali ya umwagaji taka holela katika dampo lililopo mkabara na barabara itokayo manispaa ya Geita kuelekea Nzera mkoani Geita. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi hao wakiwa katika eneo la dampo wamezungumza na Storm FM Januari…
21 January 2025, 11:39 am
Wananchi manispaa ya Geita wakumbushwa kuzingatia mipaka ya viwanja vyao kabla ya kuanzisha ujenzi ili kuondoa changamoto zinazoweza kupelekea migogoro. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wananchi wakazi wa eneo la Nguzombili mtaa wa Mwatulole kata ya Buhalahala wamelalamikia…
21 January 2025, 10:53 am
Wafugaji katika mtaa wa Msufini, Msalala road wahimizwa kuzingatia sheria ili kuondoa changamoto ya kupoteza mifugo yao kwenye mazingira mbalimbali. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja kwa jina Mfaume Felix mkazi wa Msufini mtaa wa Msalala road manispaa ya…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.