Recent posts
30 April 2024, 3:39 pm
Familia zinazoishi mazingira magumu zapatiwa msaada
Hali duni ya maisha inayopelekea kukosa mahitaji mbalimbali inatajwa kuwa chanzo cha baadhi ya watoto kushindwa kupata haki ya eleimu kutokana na wazazi kushindwa kumudu gharama na kupelekea ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Na: Edga Rwenduru – Geita…
29 April 2024, 5:31 pm
Sakata la Mpanduji kujiua, wananchi wawakataa viongozi wa kijiji
Baada ya Storm Fm kuripoti taarifa ya mwanaume mmoja Mpanduji Mshigwa (46) mkazi wa kijiji cha Busaka kata ya Bwera halmashauri ya Chato kujiua kwa kile kilichodaiwa kuingia mgogoro na mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Halawa (mganga wa jadi)…
29 April 2024, 3:18 pm
Biteko atembelea banda la GGML maonesho ya OSHA
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri mkuu na waziri wa nishati Dkt. Dotto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya vifo na majeruhi katika shughuli za uchimbaji mgodini na kuwasisitiza waajiri wengine kuhakikisha wakati…
26 April 2024, 11:47 am
Shirika la Plan International lawafuta machozi wasichana
Mradi wa KAGIS (Keeping Adolescent girls in shool) ambao unaratibiwa na shirika la Plan international umeendelea kuacha alama kwenye sekta ya elimu mkoani Geita kwa kuendelea kupunguza changamoto zinazowakabili watoto wa kike kuendelea na masomo. Na Kale Chongela – Geita…
25 April 2024, 10:43 am
Geita Queens yazidi kudidimia ligi ya wanawake
Ligi kuu ya wanawake Tanzania bara inaendelea ambapo timu mbalimbali za Tanzania zinashiriki katika ligi hiyo Na Juma Zacharia – Geita Kikosi cha Geita gold queens cha mkoani Geita kimedondosha alama tatu katika mwendelezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania…
25 April 2024, 10:30 am
Mpanduji ajiua kwa kujichoma kisu kisa wivu wa mapenzi
Ingawa ni ngumu kuelewa sababu ya mtu kujaribu kujiua, watu wanaojaribu kujiua ndio wanajua ukweli wa jambo hilo, kwa mujibu wa Shirika la afya duniani (WHO),zaidi ya watu 700,000 hufariki kwa kujiua kila mwaka. Na Ester Mabula – Geita Mpanduji…
25 April 2024, 10:04 am
Umoja wa madereva bajaji mji wa Katoro wakutana
Usafiri wa pikipiki zenye magurudumu matatu maarufu bajaji nchini umekuwa ukitegemewa na wananchi kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya maeneo nchini huku baadhi ya vijana wakijiajiri na kuweza kuendesha maisha yao. Na Evance Mlyakado – Geita Umoja wa waendesha bajaji…
24 April 2024, 4:18 pm
GGML,OSHA watoa mafunzo ya kukabili majanga ya moto kwa mama lishe
Majanga ya moto yamekuwa yakileta athari ikiwemo kusababisha umasikini kutokana na baadhi ya watu kushindwa kukabiliana nayo kwakuwa hawana elimu ya kupambana na majanga hayo. Na Mwandishi Wetu: Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa…
23 April 2024, 4:21 pm
Jamii yakumbushwa kulea watoto katika misingi ya kidini
Malezi sahihi ya mtoto hutajwa kuwa kiungo muhimu katika kujenga taifa la kesho, hivyo wazazi na walezi wanahimizwa kuzingatia suala la malezi na makuzi ya mtoto kwenye misingi ya kumpendeza Mwenyezi Mungu. Na Joel Maduka – Geita Jamii imekumbushwa kuwa…
23 April 2024, 10:16 am
Ugonjwa usiojulikana waua watoto wawili Geita
Serikali kupitia Wizara ya Afya nchini imeendeleza ajenda ya kuhamasisha jamii kuzingatia kanuni bora za kiafya ikiwemo matumizi ya vyoo bora, kunawa mikono nyakati muhimu na kutunza mazingira ili kujilinda na magonjwa ya kuharisha na kutapika. Na Kale Chongela –…