Recent posts
13 April 2024, 1:55 pm
Wanawake Nyankumbu waondokana na adha ya kujifungulia njiani
Changamoto ya wanawake kujifungulia njiani imekuwa ikiripotiwa kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu huku sababu mbalimbali ikiwemo Umbali, uchumi na miundombinu duni katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za afya zikihusishwa kupelekea hali hiyo kutokea. Na Mrisho Sadick…
13 April 2024, 2:35 am
Wananchi washirikiana kuziba chanzo cha mafuriko
Uduni wa miundombinu ya barabara imekuwa ikichangia athari mbalimbali ambazo zimekuwa zikisababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Geita Na Kale Chongela – Geita Baada ya mafuriko kuikumba mitaa mbalimbali ya mkoa geita kutokana na mvua iliyonyesha siku ya April 7,…
11 April 2024, 5:49 pm
Maonesho ya biashara, viwanda na kilimo kuanza mwezi Mei Geita
Katika kukuza fursa za kibiashara , kilimo na viwanda Mkoa wa Geita huandaa kila mwaka maonesho yanayogusa sekta hizo ili wahusika waweze kuyatumia kujijenga zaidi. Na Mrisho Sadick – Geita Zaidi ya wajasiriamali 200 na makampuni makubwa kutoka ndani na nje ya…
10 April 2024, 6:21 pm
Amani na upendo vyasisitizwa sikukuu ya Eid
Viongozi mbalimbali wa serikali na dini wametoa Jumbe mbalimbali katika sikukuu ya Eid huku suala la kudumisha amani ya nchi likipewa uzito wa aina yake. Na Kale Chongela – Geita Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Geita wametakiwa kuendelea kuishi…
9 April 2024, 6:01 pm
Msako waganga wanaosababisha mauaji Geita
Matukio ya watu kudaiwa kukamatwa hovyo na wananchi katika kijiji cha Iparamasa Chato yamemuibua Kamanda wa Jeshi la Polisi. Na Mrisho Sadick – Geita Jeshi la polisi Mkoani Geita linaendelea kuwasaka nakuwakamata waganga wa tiba asili ambao wanafanya ramli chonganishi…
8 April 2024, 9:59 pm
Ubovu wa barabara wakwamisha huduma za kijamii Songambele
14 Kambarage ni miongoni mwa maeneo ambayo yanaendelea kushuhudia athari za mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofautitofauti ya mkoa wa Geita na nchi nzima kwa ujumla. Na kale Chongela Wakazi wa Songambele mtaa wa 14 Kambarage kata ya Buhalahala mjini…
8 April 2024, 9:13 pm
Familia zaidi ya 20 zaathiriwa na mafuriko Geita
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita na nchi nzima kwa ujumla, athari mbalimbali zimeendelea kujitokeza kwa wananchi ikiwemo kuharibika kwa miundombinu ya barabara na athari nyinginezo katika mazingira. Na Evance Mlyakado – Geita Mvua…
7 April 2024, 5:50 pm
Tabibu ajiua chumbani kwa rafiki yake
Tukio la kusikitisha katika jamii baada ya tabibu kudaiwa kujiua akiwa chumbani kwa rafiki yake nyakati za usiku. Na Mrisho Sadick – Geita Afisa tabibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Geita Fimbo Ncheye anadaiwa kujiua akiwa kwenye chumba…
6 April 2024, 4:22 pm
Mufti wa Tanzania abariki ujenzi wa msikiti Geita
Mwezi mtukufu wa ramadhani umekuwa na manufaa makubwa kwa waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Geita baada ya kiongozi wao mkuu kuwatembelea nakubariki ujenzi wa msikiti. Na Mrisho Sadick – Geita Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ametembelea nakuweka jiwe…
5 April 2024, 5:04 pm
Watoto wajengwe katika misingi ya imani
Mwezi mtukufu wa ramadhani umekuwa chachu ya kujenga jamii katika nyanja mbalimbali ikiwemo amani ,umoja na mshikamano. Na Mrisho Sadick – Geita Wanawake Mkoani Geita wametakiwa kutumia kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kuwajenga watoto wao katika misingi ya kiimani ili…