Recent posts
3 May 2024, 8:20 pm
Makala: Athari ya mvua zinazoendelea kunyesha Geita
Karibu katika makala inayoangazia mvua athari zilizosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Geita ambapo mbali nakusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara pia zimesababisha vifo hususani kwa watoto wadogo wanaoishindwa kujisaidia wenyewe. Makala hii imeandaliwa na Mrisho Sadick nakuwasilishwa…
3 May 2024, 7:43 pm
Kemikali ya zebaki tishio kwa wachimbaji Geita
Kukosekana kwa mbadala wa kemikali yenye gharama nafuu ya uchenjuaji wa madini ya dhahabu, imeendelea kuziweka rehani afya za wachimbaji wa madini mkoani Geita kwa kutumia kemikali ya zebaki yenye madhara kiafya. Na Mrsiho Sadick – Geita: Serikali imeanza kutoa…
3 May 2024, 6:07 pm
Uvimbe wa kilo 5 waondolewa ndani ya tumbo la mwanamke
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Geita imeendelea kupiga hatua katika utoaji wa huduma mbalimbali za kiafya ikiwemo huduma ya mama na mtoto, huduma za uchuguzi na tiba za awali za saratani ya mlango wa kizazi pamoja na huduma ya…
3 May 2024, 11:29 am
Baada ya kifo cha mjamzito, zahanati yaanza kazi Lubanda
Baada ya kupita muda mrefu licha ya zahanati iliyojengwa kwa nguvu za wananchi kushindwa kutoa huduma, hatimaye kilio cha wananchi wa kijiji cha Lubanda kata ya Busanda kimesikika. Na: Ester Mabula – Geita Diwani wa kata ya Busanda Selemani Gwamala…
2 May 2024, 4:13 pm
Wakazi mtaa wa Uwanja waomba shule ya upili (sekondari)
Licha ya jitihada za serikali kuwekeza katika elimu kwa kujenga shule mpya na za kisasa kwa baadhi ya maeneo nchini, bado ni kitendawili kwa wakazi wa mtaa wa Uwanja kutokana na kukosa shule ya upili (sekondari). Na: Edga Rwenduru –…
2 May 2024, 3:52 pm
Walimu walia na uhaba wa nyumba za watumishi kata ya Nyamalimbe
Siku ya wafanyakazi duniani ambayo huadhimishwa kila mei mosi ya kila mwaka huangazia mafanikio na haki za wafanyakazi kwa kufanya maandamano, mikutano na matukio mengine yakiambatana na mashinikizo ya kutambua haki za wafanyakazi. Na: Edga Rwenduru – Geita Baadhi ya…
2 May 2024, 10:47 am
Watumishi sekta binafsi waiangukia serikali Geita
Kwakuwa serikali ndie msimamizi mkuu wa shughuli zote hapa nchini imetakiwa kufanya tathimini ya utendaji kazi wa sekta binafsi kwani zinadaiwa kukabiliwa na changamoto nyingi. Na Mrisho Sadick – Geita Wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi Mkoani Geita…
2 May 2024, 10:23 am
Makonda asisitiza GGML kuhakikisha inabadilisha maisha ya wakazi wa Geita
Mgodi wa GGML umeendelea kushirikiana na serikali kuwaletea maendeleo wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za afya , elimu na uchumi. Na Mwandishi wetu: Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita…
1 May 2024, 7:04 pm
TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML
GGML ni kampuni inayoendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu walizojiwekea jambo ambalo linaifanya kuendelea kusifika nakuwa mfano wa kuigwa hapa nchini. Na Mwandishi wetu: SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi…
1 May 2024, 3:43 pm
Taka ni kikwazo kwa baadhi ya maeneo mjini Geita
Licha ya jitihada mbalimbali zinazoendelea kufanywa na halmashauri ya mji wa Geita ili kukabiliana na uchafu wa mazingira, bado hali ni tete kwa baadhi ya maeneo. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wananchi kutoka mitaa ya Mpomvu, Mbabani, Nyantorotoro…