Recent posts
14 June 2024, 10:30 am
Bodaboda atapeliwa pikipiki Msalala road mjini Geita
Suala la umakini hutajwa kuwa jambo muhimu zaidi katika eneo la kazi/biashara nk ambapo baadhi ya watu wameendelea kutapeli mali za watu kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo udanganyifu na kuwaacha watapeliwa njia panda. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwendesha pikipiki…
13 June 2024, 11:14 am
DC Geita atoa neno kwa wasimamizi wa miradi ya wilaya
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba ameendelea kufanya ziara kwa kutembelea maeneo mbalimbali ya wilaya ya Geita na kukagua miradi ya maendeleo ambayo inaendelea kutekelezwa katika wilaya hiyo. Na: Kale Chongela – Geita Serikali wilaya ya Geita imewataka wasimamizi…
13 June 2024, 10:25 am
Wananchi mjini Geita wakerwa na tabia za bodaboda
Usafiri wa pikipiki maarufu bodaboda umeendelea kurahisisha maisha ya wananchi wengi kutokana na uharaka wa kufika kutoka eneo moja hadi linguine huku ukitoa ajira kwa baadhi ya vijana. Na: Amon Mwakalobo – Geita Baadhi ya wananchi katika halmashauri ya mji…
12 June 2024, 11:56 am
Jodade yawajengea uwezo watoto na vijana Geita
Kutokana na kundi la watoto na vijana kuwa katika hatari zaidi ya kuharibikiwa serikali , taasisi za kiraia , wadau na wazazi wameingilia kati kunusuru kundi hilo. Na Mrisho Sadick: Jodade Foundation imewakutanisha watoto na vijana kuanzia miaka 12 hadi…
12 June 2024, 11:41 am
GGML yaahidi kuendelea kushirikiana na UDSM kudhamini tafiti, ubunifu
Ili kuendelea kujenga na kukuza ustawi wa taifa wawekezaji sekta binafsi wanapaswa kushirikiana na serikali kikamilifu kama inavyofanya kampuni ya GGML katika kusapoti tafiti na ubunifu Na Gabriel Mushi: KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na…
12 June 2024, 11:02 am
Wakazi wa Nyantorotoro B mjini Geita bado hawana umeme
Baadhi ya maeneo ya mtaa wa Nyantorotoro B kata ya Nyankumbu katika halmashauri ya mji wa Geita bado yana ukosefu wa umeme ambapo serikali imeanza jitihada za kupeleka nguzo katika maeneo hayo ili kuondoa changamoto ya umeme. Na: Kale Chongela…
12 June 2024, 10:17 am
Jumuiya ya wazazi CCM wilaya ya Geita yasaidia ujenzi wa shule
Jumuiya ya wazazi ya CCM ya wilaya ya Geita imeendelea na ziara ya kutembelea katika kata mbalimbali za wilaya hiyo ili kuzungumza na wanachama wake katika kuainisha na kutatua changamoto mbalimbali. Na: Evance Mlyakado – Geita Jumuiya ya wazazi wilaya…
10 June 2024, 3:51 pm
Barabara ya Ushirombo-Nyikonga hadi Katoro kuanza kujengwa
Serikali imedhamiria katika uboreshaji wa miundombinu ya barabara ambazo zimeharibika kutokana na mvua zilizonyesha nchini ili kuweka urahisi kwa wananchi kutumia barabara hizo. Na: Edga Rwenduru – Geita Serikali imeanza mpango wa kujenga barabara ya Ushirombo-Nyikonga mpaka Katoro kwa kiwango…
10 June 2024, 3:34 pm
Anusurika kifo kwa kichapo baada ya kumtapeli wakala Chato
Matukio ya utapeli wa fedha yanaendelea kushamiri kwa sura tofauti tofauti licha ya jitihada za serikali kuendelea kuwabaini na kuwachukulia hatua watu wanaojihusisha na matukio hayo. Na: Evance Mlyakado – Geita Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina wala sehemu alipokuwa akitokea…
9 June 2024, 1:55 pm
Dkt Biteko awaonya walioficha watoto wasiende shule
Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi zaidi ya 440 ambao wameshindwa kuripoti shule katika wilaya ya Bukombe serikali imeanza kutumia nguvu kuwatafuta popote walipo nakuwapeleka shule. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko ametoa maagizo ya watoto…