Recent posts
4 December 2025, 6:28 pm
Picha: Reuben Sagayika akabidhiwa rasmi ofisi kata ya Kalangalala
Ikiwa ni siku chache tangu kuapishwa rasmi kwa madiwani wateule watakaoongoza kuanzia 2025 hadi 2030, sasa wameanza rasmi majukumu. Na: Ester Mabula Diwani mpya wa Kata ya Kalangalala, Reuben Emmanuel Sagayika, amekabidhiwa rasmi ofisi leo Disemba 04, 2025 kutoka kwa…
4 December 2025, 5:19 am
Hizi hapa bei elekezi za mafuta Geita kwa mwezi Disemba
Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi, mamlaka ya huduma za nishati na maji nchini (EWURA) hutangaza bei kikomo za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Na: Ester Mabula Taarifa iliyotolewa Jumatano ya Disemba 03, 2025 nz Mamlaka ya…
3 December 2025, 7:18 pm
Mapambano ya ugonjwa wa sikoseli yaanza Geita
Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…
2 December 2025, 7:32 pm
Vipaumbele vya Reuben Sagayika baada ya kula kiapo
Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita limeketi leo Disemba 02, 2025 katika kikao cha kwanza ambapo lilianza kwa zoezi la madiwani wateule kula viapo vya utumishi. Na: Ester Mabula Diwani wa kata ya Kalangalala Reuben Sagayika mara…
2 December 2025, 3:50 pm
Halmashauri ya Manispaa ya Geita yapata viongozi wapya
Leo Disemba 02, 2025 kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dkt. Samia Suluhu Hassan eneo la Bombambili manispaa ya Geita. Na: Ester Mabula Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita limeketi…
1 December 2025, 2:14 pm
Serikali kusimama na vijana waliohitimu VETA Geita
Changamoto mbalimbali zinazokabili chuo hicho ikiwemo ukosefu wa uzio unaohatarisha mali za chuo, upungufu wa zana za kisasa za mafunzo. Na Mrisho Sadick: Taasisi za serikali na zile za binafsi wilayani Geita zimetakiwa kuwapa kipaumbele vijana waliohitimu mafunzo ya Ufundi…
1 December 2025, 1:40 pm
Marafiki wa elimu watoa msaada Nyantindili, Neema House Geita
Mtandao huo umefanikisha ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari Kasamwa ikiwemo chumba maalumu kwa ajili ya wasichana watakapokuwa wakati wa hedhi. Na Mrisho Sadick: Mtandao wa marafiki wa elimu Kanda ya Ziwa umetoa msaada wa chakula kwenye kituo cha…
30 November 2025, 2:35 pm
Bwanga katika mapambano ya ugonjwa wa kisukari
Iwapo wananchi hawatachukua hatua za haraka za kujitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa yasioambukiza yanaweza kuleta madhara makubwa ikiwemo figo kufeli. Na Mrisho Sadick: Chama cha ugonjwa wa kisukari Tanzania kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Geita…
30 November 2025, 5:33 am
Jumla ya wanafunzi 607 wafadhiliwa shule za WAJA
“Hata mimi nilikuwa kama nyie miaka 31 iliyopita, ni muhimu kuwa na nidhamu na kuishi katika ndoto zenu huku mkiwaheshimu watu wote kwenye Jamii” – RC Shigela Na: Ester Mabula Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe. Martine Reuben Shigela amewataka…
27 November 2025, 4:28 pm
Bodaboda marufuku kucheza kamari vijiweni Geita
Msako wa vijana ambao wanakaa kwenye vijiwe vya Bodaboda bila kazi kuanza Manispaa ya Geita Mkoani Geita Na Kale Chongela: Umoja wa waendesha Bodaboda Mkoa wa Geita umepiga marufuku baadhi ya waendesha pikipiki ambao kwasasa hawana vyombo hivyo kukaa kwenye…