Storm FM

M/Kiti UVCCM wilaya ya Geita ahimiza vijana kujiandikisha

25 July 2024, 10:34 am

Viongozi wa UVCCM wakiwa katika matembezi katika mtaa wa Katundu. Picha na Kale Chongela

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Geita Manjale Magambo amewataka vijana kujitokeza katika kwenda kujiandikisha katika daftari la mpinga kura.

Na: Kale Chongela – Geita

Mwenyekiti wa UVCCM Manjale Magambo akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 22, 2024 baada ya zoezi la kupandisha bendera za CCM kwenye mashina ya mabalozi yaliyopo mtaa wa kivukoni maarufu kwa jina la Katundu kata ya kalangalala mjini Geita ikiwa lengo ni kila mmoja aweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sauti ya Manjale Magambo

Katibu wa CCM tawi la kivukoni Bi. Marry Ainga ametumia fursa hiyo kueleza kuwa tawi hilo limekamilika kwa kuwa na jumuiya zote 3

Sauti ya katibu

Katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Geita Ndugu Gabriel Nyasilu amesema dhamira ya CCM ni kuendelea kujijenga kuanzia ngazi ya chini ndani ya wilaya ya Geita .

Sauti ya katibu mwenezi