Storm FM
Storm FM
26 September 2025, 10:19 am

Je wanawake wanakumbana na changamoto zipi katika nafasi za uongozi au wakati wa kutafuta nafasi za uongozi? Kaibu kusikiliza kipindi maalumu cha Mwanamke na Uongozi kinachoangazia masuala mbalimbali ya wanawake kwa kina.
Muandaaji wa kipindi hiki ni Ester Mabula kwa kushirikiana na Amon Mwakarobo.