Storm FM

Shilabela yaitika kusikiliza sera za mgombea ubunge (CCM) jimbo la Geita mjini

17 September 2025, 10:22 pm

Wakazi wa mtaa wa Shilabela na maeneo jirani waliojitokeza leo kusikiliza sera za mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Geita mjini. Picha na mwandishi wetu

Vyama mbalimbali vya siasa nchini vimeendelea kufanya kampeni ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Na: Ester Mabula

Wakazi wa mtaa wa Shilabela na maeneo jirani waliojitokeza leo kusikiliza sera za mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Geita mjini. Picha na mwandishi wetu
Wakazi wa mtaa wa Shilabela na maeneo jirani waliojitokeza leo kusikiliza sera za mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Geita mjini. Picha na mwandishi wetu
Wakazi wa mtaa wa Shilabela na maeneo jirani waliojitokeza leo kusikiliza sera za mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Geita mjini. Picha na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda akizungumza na wakazi wa Shilabela (hawapo pichani). Picha na mwandishi wetu
Mgombea ubunge kupitia tiketi ya CCm Mhandisi Chacha Wambura akifurahia jambo katika mkutano maalumu uliofanyika mtaa wa Shilabela. Picha na mwandishi wetu.