Storm FM
Storm FM
5 September 2025, 10:54 am

Ni siku chache tangu kutajwa majina ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
Idadi ya wanawake waliochaguliwa na chama hicho imeonekana kuwa chini tofauti na ilivyo kwa wanaume, JE NINI SABABU YA IDADI YA WANAWAKE KUWA NDOGO?
Karibu kusikiliza kipindi maalumu cha Mwanamke na Uongozi kinachoangazia kwa kina suala hilo.
Muaandaji ni Ester Mabula kwa kushirikiana na Amon Mwakarobo.