Storm FM
Storm FM
27 June 2025, 10:08 am

Karibu kusikiliza kipindi maalumu cha Mwanamke na Uongozi kinachopewa nguvu na Chama cha umoja wa waandishi wa habari wanawake (TAMWA).
Leo kinaangazia juu ya mada isemayo JE WANAWAKE WANAOJITOSA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI WANAUNGWA MKONO??
Kipindi hiki kimeandaliwa na Ester Mabula kwa ushirikiano na Amon Mwakarobo.