Storm FM
Storm FM
30 May 2025, 10:40 am

Karibu kusikiliza kipindi maalumu kinachohusu masuala mbalimbali ya wanawake na mada kuu leo inaanganzia juu ya NAFASI YA MWANAMKE KATIKA UONGOZI, JE ANAPEWA NAFASI IPASAVYO.
Kipindi hiki kinapewa nguvu na Chama cha waandishi wa habari wanawake TAMWA kwa kushirikiana na Storm FM.