Storm FM

Naomba msaada wa matibabu ya Mtoto wangu.

27 April 2021, 2:27 pm

Na Mrisho Sadick:

Kijana Razalo (13) Mkazi wa kijiji Cha Magenge Halmashauri ya wilaya ya Geita anaomba Msaada wa fedha ya  Matibabu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya Moyo, Sikoseli na mshipa wa ngili huku hali ya maisha katika familia yake ikiwa ni duni.

Rebeka Bupamba akiwa na Mtoto wake Razalo:

Rebeka Bupanga Mama Mzazi wa Razalo amezungumzia hali ya Kijana wake na hatua alizopitia kumsaidia mtoto wake, nakuwaomba watanzania wenye Moyo wa huruma kumsaidia fedha ya Matibabu mtoto wake kwani hali ya kiuchumi kwa upande wake ni mbaya.

Mama Razalo ( Rebeka Bupamba )

Namba za Mama Razalo (Rebeka Bupamba)

0755-896-416:

Iwapo haipatikani namba hiyo Rebeka Bupanga waweza kutumia namba ya Jirani yake ambae amekuwa akimsaidia kutatua changamoto zinazomkabili nyumbani kwake.

 0622-643-714: