Storm FM
Storm FM
1 May 2021, 12:01 pm
Na Mrisho Sadick: Mtoto anaekadiriwa kuwa na zaidi ya umri wa miaka 15 katika mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita amewekwa chini ya ulinzi na wananchi baada ya kukutwa akiwa hana nguo nyakati za usiku kwenye makazi ya watu nakudaiwa…
1 May 2021, 11:40 am
Mwanaume aliejulikana kwa jina moja la Shija (30) Mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro “A” mjini Geita amemjeruhi Mtoto wake kwa kitu chenye ncha kali tumboni kisha na yeye kujinyonga hadi kufa huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Akizungumza…
27 April 2021, 2:49 pm
Vijana Mkoani Geita wameshauriwa kuacha tabia ya kubagua kazi na badala yeke wajishughulishe na kazi zozote za halali zenye kuwaingizia kipato. Kale Chongela Mwandishi wa Storm FM amepiga Stori na Kijana alieamua kujiajiri kwa utengenezaji wa Bustani na uuzaji wa…
27 April 2021, 2:27 pm
Na Mrisho Sadick: Kijana Razalo (13) Mkazi wa kijiji Cha Magenge Halmashauri ya wilaya ya Geita anaomba Msaada wa fedha ya Matibabu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya Moyo, Sikoseli na mshipa wa ngili huku hali ya maisha katika familia…
27 April 2021, 1:53 pm
Na Nichoras Paul Lyankando: Matumaini ya kumalizika kwa mgogoro wa mipaka ya kijiji cha lulembela na nyikonga wilayani mbogwe mkoani geita yameanza kuonekana mara baada ya viongozi wa kata husika kuingilia kati. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliowakutanisha wananchi katika…
26 April 2021, 1:53 pm
Na Joel Maduka: Wajasiriamali zaidi ya mia tatu waliopatiwa mafunzo na baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi, wametakiwa kutumia ujuzi ambao wamepatiwa kutazama fursa kwenye makapuni mbali mbali na kuachana dhana ya kusubili tenda katika mgodi wa dhahabu wa Geita GGML.…
25 April 2021, 2:27 pm
Walimu shule za msingi katika halmashauri ya mji wa Geita wameshauriwa kuandaa mijadala shuleni baina ya shule jirani ili kuwajengea uwezo wanafunzi wa kujieleza kitaaluma . Ushauri huo umetolewa na Afisa tawala Wilaya ya Geita Bw Inocent Mabiki ambaye alikuwa…
23 April 2021, 6:37 pm
Na Joel Maduka: Baraka Marko mkazi wa Nemba Wilaya ya Biharamulo amewaomba watanzania wenye mapenzi mema kumsaidia kupata baiskeli ndogo ya magurudumu matatu ambayo itamsaidia mtoto wake ambaye anaitwa Faraja Baraka aliyemzaa bila ya kuwa na mikono kutokana na sasa…
23 April 2021, 6:15 pm
Na Ester Mabula: Vijana mkoani Geita wameshauriwa kujiajiri na kuacha dhana ya kubagua kazi ili kuweza kujipatia maendeleo na kuendesha maisha yao. Hayo yamebainishwa na baadhi ya vijana walioamua kujiajiri kwa kuunda kikundi cha kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia vyuma…
23 April 2021, 6:07 pm
Na Kale Chongela: Ng’ombe wawili wamekufa baada ya kunywa maji yenye sumu kutokana na kutapakaa kwa maji yenye sumu yanayo toka katika eneo la uchenjuaji wa madini ya dhahabu katika mtaa wa Samina Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.