Storm FM
Storm FM
11 September 2023, 10:08 pm
Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Magufuli la Busisi-Kigongo jijini Mwanza ambalo linatarajiwa kukamilika mapema mwaka kesho. Na Mrisho Sadick – Geita Ujenzi wa daraja la Magufuli la Kigongo Busisi jijini Mwanza umefikia asilimia 76…
8 September 2023, 1:43 pm
Utegemezi kwa familia imetajwa kuwa moja ya sababu inayosababishwa na matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana. Na Daniel Magwina- Geita Kufuatia wimbi la vijana kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya baadhi ya wananchi mkoani Geita mapema leo hii,…
8 September 2023, 12:06 pm
Juhudi za kuendelea kuwahimiza vijana kujiingiza kwenye kilimo zinaendelea, kwani kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, huku Kijani Consult wakija na njia mbadala kwa vijana wa Geita kutumia kilimo chenye mwanga mdogo wajua ili mazao kustawi vizuri. Na Zubeda…
7 September 2023, 10:21 pm
Tukio la kunajisiwa Kanisa ni la pili kutokea mkoani Geita ikiwa ni miezi sita imepita baada ya kijana mmoja mkazi wa Geita kudaiwa kuvamia Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita na kufanya uharibifu uliosababisha hasara ya Sh. milioni 48.2.…
7 September 2023, 7:57 pm
Matukio ya wizi katika maeneo mbalimbali mkoani Geita yanaendelea kujitokeza licha ya jitihada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kwa kushirikiana na Jeshi la Jadi. Na Nicolaus Lyankando- Geita Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 27 amekamatwa…
6 September 2023, 10:49 pm
Uwepo wa Shamba la Miti Silayo wilayani Chato ni manufaa makubwa kwa wakazi wa eneo hilo kulingana na namna linaendelea kurudisha kwa jamii licha ya changamoto kadha wa kadha katika kulilinda shamba hilo. Na Zubeda Handrish- Geita Mkuu wa wilaya…
6 September 2023, 11:46 am
Matukio ya watu waliochukua mikopo katika makampuni ya kukopesha fedha na kushindwa kurejesha fedha hizo yamekithiri, huku tukio la mke kukopa bila ya kumshirikisha mume na kushindwa kurejesha na kuchukuliwa vitu vya ndani limeacha watu vinywa wazi. Na Zubeda Handrish-…
5 September 2023, 9:44 am
Uhaba wa askari wa Jeshi la Polisi wilayani Geita umewaibua vijana kujiunga katika Jeshi la Jadi ili kulinda kijiji chao. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya vijana 200 wa kijiji cha Buyagu wilayani Geita wamejiunga katika Jeshi la Jadi maarufu kama…
4 September 2023, 11:54 am
Taharuki yaibuka baada ya Lori kugonga nyumba nyakati za usiku katika Mtaa wa Kivukoni Halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita. Na Mrisho Sadick: Watu watano wamenusurika kifo baada ya Lori la mchanga lenye namba za usajili T 665 DWF…
4 September 2023, 10:46 am
Ukosefu wa Zahanati katika mtaa wa Manga kwa takribani miaka zaidi ya 10 kumewaibua wananchi na viongozi wa serikali ya mtaa huo. Na Zubeda Handrish- Geita Wakazi wa mtaa wa Manga kata ya Mgusu wilayani na mkoani Geita, wamefunguka adha ya muda…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.