Storm FM

Recent posts

16 September 2023, 11:20 pm

Storm FM yazindua kipindi kipya cha Afya Chikobe

Katika kuelekea miaka 9 ya uwepo wa Kituo cha redio cha Storm FM mkoani Geita, tunayo furaha kukufahamisha juu ya uwepo wa kipindi kipya cha “Sauti Ya Tiba” ambacho kitajikita katika kutoa elimu na taarifa sahihi juu ya magonjwa mbalimbali. Na…

16 September 2023, 1:21 pm

Ishololo waondokana na adha ya kutembea umbali mrefu

Ubunifu wa ujenzi wa miradi kupitia fedha za TASAF umekuwa na matokeo chanya hususani maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya huduma za jamii kama afya, maji na elimu. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Ishololo wilayani…

14 September 2023, 12:50 pm

Mgodi wa Buckreef walipa fidia kwa wananchi

Mgodi wa Buckreef umechukua eneo la wananchi wa Lwamgasa lenye kilomita za mraba 12 kwa ajili ya kupanua shughuli za uzalishaji wa mgodi huo. Mgodi wa Uchimbaji madini ya dhahabu wa buckreef uliopo kata ya Lwamgasa Jimbo la busanda wilaya…

13 September 2023, 8:23 pm

Watumishi waliohama vituo vya kazi kwa uhamisho feki kufutwa kazi

Uchunguzi umeanza kufanyika kwa watumishi wa umma waliohama vituo vyao vya kazi kwa njia za udanganyifu nakukimbilia mjini. Na Mrisho Sadick – Geita Serikali imesema itawachukulia hatua kali ikiwemo kuwafuta kazi baadhi ya watumishi wa umma waliotumia nyaraka feki za…

12 September 2023, 9:02 pm

Vyombo vya maamuzi kikwazo mapambano dhidi ya ukatili Geita

Na Mrisho Sadick – Geita Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii , jinsia, Wanawake na makundi maalumu Mwanaidi Ali Khamis amevitaka vyombo vya kutoa maamuzi kuharakisha uchunguzi nakutoa uamuzi wa kesi mbalimbali za vitendo vya ukatili  ili kuepuka kupoteza ushahidi…

12 September 2023, 1:23 pm

Wananchi wampongeza mwenyekiti kwa kutatua kero zao

Takribani wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi wilaya ya Geita kuwaagiza wenyeviti wa mitaa/vijiji pamoja na watendaji kuhakikisha wanasoma taarifa za mapato na matumizi kila baada ya miezi mitatu, huku ikiwa ni kawaida kwa mtaa wa Shilabela. Na Ester…

11 September 2023, 10:08 pm

Ujenzi daraja la Magufuli wafikia 76%

Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Magufuli la Busisi-Kigongo jijini Mwanza ambalo linatarajiwa kukamilika mapema mwaka kesho. Na Mrisho Sadick – Geita Ujenzi wa daraja la Magufuli la Kigongo Busisi jijini Mwanza umefikia asilimia 76…

8 September 2023, 12:06 pm

Vijana wahimizwa kujikita katika kilimo cha kitalu nyumba

Juhudi za kuendelea kuwahimiza vijana kujiingiza kwenye kilimo zinaendelea, kwani kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, huku Kijani Consult wakija na njia mbadala kwa vijana wa Geita kutumia kilimo chenye mwanga mdogo wajua ili mazao kustawi vizuri. Na Zubeda…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.