Recent posts
3 April 2024, 2:42 pm
Alietaka kujinyonga afikishwa ofisi ya mtaa
Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yanaendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali kwasasa imefikia hatua ya baadhi ya watu kutaka kujitoa uhai kwasababu ambazo zinaweza kupata majibu. Na Kale Chongela – Geita Mwanamke Rejina Jumanne Mkazi wa mtaa wa Mpomvu kata…
2 April 2024, 5:24 pm
Moto walipuka nakuteketeza vitu vyote vya ndani
Katika hali isiyo ya kawaida moto ambao haukufahamika chanzo chake umelipuka na kuteketeza vitu vyote vya ndani katika nyumba ya bwana Mathius Jeremiah mkazi wa mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita. Na Kale Chongela – Geita Vitu vya ndani katika…
21 March 2024, 2:46 pm
WIMA, GGML zawataka wazazi kuwapa elimu watoto wa kike
Wazazi na walezi wametakiwa kuunga mkono elimu kwa watoto wa kike ili kuwajengea ujasiri na kuchukua nafasi za uongozi wa juu. Na Gabriel Mushi: Wito huo umetolewa na kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni kampuni tanzu ya…
13 March 2024, 4:20 pm
Wananchi wakwama kisiwani kisa kivuko
Ukosefu wa kivuko cha uhakika katika visiwa mbalimbali hapa nchini imekuwa changamoto kwa wnanchi kufanya shughuli za uchumi Wakazi wa kisiwa Cha Izumacheli wilayani Geita wamedai kukabiliwa na Changamoto ya usafiri wa Kutoka katika kisiwa hicho baada ya ferry waliyokuwa…
12 March 2024, 3:05 pm
Ubovu wa barabara wakwamisha maendeleo
Kuharibika kwa miundombinu ya barabara nakutelekezwa kwa muda mrefu bila kufanyiwa matengenezo imekuwa kikwazo cha maendeleo kwa wananchi wengi Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa mitaa ya Katundu na Moringe Halmashauri ya Mji wa Geita wameiomba serikali kuijenga kwa…
3 March 2024, 4:40 pm
Geita wafanya dua maalum ya Hayati Mwinyi
Mamilioni ya watanzania wameendelea kumuombea dua Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Mrisho Sadick: Waumini wa dini ya kiislamu wa Msikiti wa Ijumaa Halmashuri ya mji wa Geita Mkoani…
21 February 2024, 12:20 am
Wanawake kujifungulia njiani kumewasukuma kuanzisha Zahanati
Changamoto ya vifo vya kina mama wajawazito na watoto kufariki njiani bado ni tatizo ambapo baadhi ya watu wameendelea kutafuta ufumbuzi kwa kusogeza huduma za afya karibu na makazi yao. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kitongoji cha Bwenda Kata ya…
20 February 2024, 12:10 am
TANESCO yaagizwa kuweka umeme shuleni
Kutokana na kasi ya ukuaji wa teknolojia hasa katika elimu umeme umekuwa lulu kwakuwa vifaa vingi vya kufundishia vinahitaji nishati hiyo. Na Mrisho Sadick: Shirika la umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Geita limeagizwa kufikisha umeme katika Shule ya Sekondari Bugegere…
19 February 2024, 12:11 am
Wahujumu miradi Geita kukiona cha moto
Kushindwa kukamilika kwa wakati miradi ya maendeleo Mkoani Geita imebainika kuwa kuna baadhi ya watu ambao wanafanya hujuma. Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imeagizwa kuwachukulia hatua kali watu wanaohujumu na kuchelewesha miradi ya maendeleo kwasababu zao binafsi licha ya…
16 February 2024, 2:44 pm
Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo
Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…