Recent posts
21 June 2024, 2:01 pm
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mtoto wake Geita
Matukio ya ukatili yanaendelea kuacha maswali mengi kutokana na ndugu wa karibu pamoja na wazazi kutajwa kuhusika kwenye baadhi ya matukio hayo dhidi ya watoto wao. Na: Kale Chongela – Geita Mahakama kuu kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa…
21 June 2024, 10:51 am
Viongozi, wananchi kijiji cha Ikunguigazi wajivunia mafanikio
Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi ameandaa hafla fupi ya kujipongeza pamoja na wananchi wake kufuatia mafanikio ya kijiji yaliyopatikana kwa muda wa miaka mitano iliyopita. Na: Nicolaus Lyankando – Geita Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi ameandaa hafla fupi ya kujipongeza…
21 June 2024, 10:29 am
Transfoma yalipuka na kuzua taharuki Mbugani
Wananchi wa mtaa wa Mbugani mjini Geita wamekumbwa na taharuki baada ya transifoma iliyopo katika mtaa huo kupata hitilafu na kushika moto hali iliyopelekea kukatika kwa umeme katika eneo hilo. Na: Evance Mlyakado – Geita Tukio hilo limetokea usiku wa…
21 June 2024, 10:26 am
Wahalifu wavamia, kujeruhi mchana Mwingilo
Kukosekana kwa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Ikunguigazi wilayani Mbogwe mkoani Geita kumetajwa kuwa ni chanzo cha vitendo vya uhalifu katika vijiji vya kata hiyo. Na: Nicolaus Lyankando – Geita Samwely Nestory ni mhanga wa tukio la hivi…
19 June 2024, 4:23 pm
TWCC yatoa elimu kwa wajasiriamali Geita
Chemba ya wanawake wafanyabiashara mkoa wa Geita (TWCC) imetoa elimu katika mafunzo ya siku mbili kwa wajasiriamali halmashauri ya mji wa Geita juu ya uboreshaji wa bidhaa. Na: Kale Chongela – Geita Serikali mkoani Geita imewataka wajasirimali kuendelea kujenga desturi…
18 June 2024, 8:40 pm
Wananchi, mashirika ya kiraia Geita walaani tukio la mtoto albino kuuawa Kagera
Kuanza kushika kasi kwa matukio ya watu wenye ualbino kuuawa nakukatwa viungo vyao imewaibua wananchi mkoani Geita Na Mrisho Sadick: Wananchi na mashirika ya kiraia mkoani Geita wamelaani vikali tukio la mtoto mwenye ualbino kuuawa na kukatwa viungo vyake vya…
18 June 2024, 7:41 pm
NELICO yatoa vitimwendo 50 kwa watoto wenye ulemavu Geita
Katika kupunguza changamoto kwa watoto wenye ulemavu mashirika mbalimbali mkoani Geita yameombwa kuendelea kujitokeza kulisaidia kundi hilo. Na Mrisho Sadick – Geita Shirika la NELICO Mkoani Geita limeadhimisha siku ya mtoto wa afrika kwa kutoa viti mwendo 50 na bima…
18 June 2024, 5:50 pm
Laiza akutwa na chupa zenye mikojo ndani kwake Kivukoni
Kijana Laiza mkazi wa mtaa wa Kivukoni, kata ya Kalangalala Halmashauri ya Mji wa Geita amekutwa na chupa nyingi zilizotumika zikiwa zimejaa mkojo chumbani kwake. Na: Edga Rwenduru – Geita Akizungumzia tukio hilo Juni 17, 2024 mama mwenye nyumba aishiyo…
18 June 2024, 8:27 am
Umeme vijijini ulivyobadilisha maisha Geita
Na Adelina Ukugani: Karibu katika makala ya Tafakari Pevu, kipindi kinachokukutanisha wewe msikilizaji na kiongozi wako kujadili masuala mbalimbali yanayotatiza utekelezaji wa dhana ya utawala bora Mkoani Geita. Tafakari Pevu inatoa nafasi kwako kuibua changamoto katika eneo lako zinazokwamisha mikakati ya wananchi na viongozi kujiletea…
14 June 2024, 5:09 pm
Aomba kujengewa shimo la choo baada ya uharibifu mjini Geita
Serikali mjini Geita imeendelea na ukarabati wa barabara ambazo zimekuwa na changamoto hususani ambazo pia ziliharibiwa katika kipindi cha mvua. Na: Kale Chongela – Geita Bi. Tumaini Ndayumbayumba mkazi wa mtaa wa Mwatulole kata ya Buhalahala mjini Geita ameuomba uongozi…