Storm FM
Picha: Tazama mvua ilivyowasumbua wakazi wa Msalala road
5 November 2024, 12:22 pm
Ni msimu wa masika ambapo mvua zinaendelea kunyesha kwa maeneo mbalimbali nchini.
Na: Amon Mwakalobo – Geita
Tazama hali ilivyo katika mtaa wa Msalala road barabara ya kuelekea Msufini karibu na egesho la bodaboda halmashauri ya mjinwa Geita baada ya mvua kunyesha leo Novemba 05, 2024 kuanzia majira ya saa 5 asubuhi ambapo baadhi ya maeneo mjini Geita yameathiriwa na mvua hiyo.
Hadi sasa hakuna taarifa za madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa kutokana na mvua hiyo, endelea kufatilia ukurasa huu kwa taarifa zaidi.