Storm FM

Walinzi wanyoshewa kidole sakata la wizi Shilabela

27 July 2024, 12:30 pm

Menyekiti wa mtaa wa Shilabela Fredrick Masalu akizungumza na mwandishi wa Storm FM.

Baada ya tukio la wizi wa kubomoa na kuiba kisha kujenga upya lililotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2024 kaika mtaa wa Shilabela, mwenyekiti atupa lawama kwa walinzi.

Na: Amon Mwakalobo – Geita

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Shilabela Fredrick Andrea Masalu amewatupia lawama walinzi na makampuni ya ulinzi kuwa ndio wanahusika na vitendo vya wizi.

Sauti ya mwenyekiti
Muonekano wa ndani wa kibanda ambacho kiliibiwa baada ya wezi kubomoa na kujenga. Picha na Amon Mwakalobo

Baada ya tuhuma hizo, Storm FM imewatafuta baadhi ya walinzi ili kujua changamoto ni nini ambazo zinapelekea wao kuhusishwa na tuhuma hizo

Sauti ya walinzi
Muonekano wa nje wa kibanda ambacho kiliibiwa baada ya wezi kubomoa na kujenga. Picha na Amon Mwakalobo

Meneja wa kampuni ya ulinzi mkoani Geita iitwayo “Inteligence Securico” Moses James ameelezea vigezo wanavyotumia kuajiri walinzi lakini pia ameelezea juu ya tuhuma hizo zinazoelekezwa kwa walinzi.

Sauti ya meneja