Mazingira FM

Recent posts

23 August 2023, 3:44 pm

Akutwa amepoteza maisha kwenye pagale ”wananchi wafunguka”

Mtoto mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 10 hadi 12 amekutwa amefariki na mwili wake kutelekezwa katika jengo Moja la shule ya Elly’s iliyopo mtaa wa mbugani kata ya manyamanyama halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara…

22 August 2023, 4:11 pm

Adaiwa kuuawa na mpenzi wake, mwili watelekezwa ndani Bunda

Jeshi la polisi mkoa wa Mara linaendelea kumtafuta mhusika wa tukio hilo huku akibainisha baadhi ya vitu vilivyopotea katika nyumba ya marehemu vimekamatwa wilayani Serengeti. Na Adelinus Banenwa Jeshi la polisi mkoani Mara linamtafuta mwanaume mmoja anayetuhumiwa kumuua mwanamke aliyetajwa…

22 August 2023, 3:21 pm

Wakazi wa Balili Bunda walia na ukosefu wa maji safi na salama

Changamoto ya uwepo wa huduma ya uhakika ya maji safi na salama inavyowatesa wakazi wa Balili katika kata ya Balili halmashauri ya Mji wa Bunda. Na Mussa Matutu na Samweli Erastus Wakazi wa mtaa Balili Stoo kata ya Balili halmashauri…

18 August 2023, 10:18 am

Wakazi Bunda Stoo walia ukosefu wa maji

Suala la maji katika Mtaa wa idara ya maji hasa maeneo ya panda miti imekuwa ni kikwazo ambapo wamesema hulazimika kuamka usiku wa manane ili kwenda kufata maji. Na Adelinus Banenwa Wakazi Mtaa wa Idara ya Maji kata ya Bunda…

17 August 2023, 6:04 pm

Wakazi wa Misisi Bunda waiomba serikali kuingilia kati nyumba kubomoka

“Serikali itusaidie kampuni ya ujenzi ya China iturekebishie nyumba zetu zilizoharibika wakati wakilipua miamba kutengenezea barabara ya Nyamuswa” wakazi wa Misisi wilaya ya Bunda Na Edward Lucas Wakazi wa mtaa wa Misisi kata ya Sazira Halmashauri ya Mji wa Bunda…

16 August 2023, 9:50 am

DC Naano: Bunda inaongoza kwa kutokuwa na vyoo Mara

Bunda ni miongoni mwa wilaya zinaongoza kwa kutokuwa na vyoo mkoani Mara Na Thomas Masalu Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe. Dr,Vicent Naano amegiza kushughulikiwa kikamilifu suala la usafi wa mazingira hasa kuwa na vyoo bora majumbani ili kusaidia kupunguza…

10 August 2023, 1:14 pm

Chama cha wafugaji chatoa msimamo uwekezaji bandari

Wafugaji wanaona yapo manufaa makubwa kwenye uwekezaji wa bandari hivyo wanaunga mkono jitihada zote za serikali katika uwekezaji huo. Na Adelinus Banenwa Chama cha wafugaji Tanzania kupitia kwa mwenyekiti wake kimesema kinaunga mkono mkataba wa mashirikiano ya serikali na kampuni…