Mazingira FM

Recent posts

2 August 2023, 9:55 pm

Bunda: Miili yote 13 yapatikana ajali ya mitumbwi Ziwa Victoria

28 walipata ajali 30 July 2023, wakanusurika 14 siku ya tukio , mtoto wa mwaka mmoja akapatikana akiwa amefariki na katika zoezi la utafutaji tarehe 1 August 2023 hadi kufikia saa 12:00 jioni wawili walikuwa wamepatikana na kufika asubuhi 2…

2 August 2023, 8:23 am

Breaking News: miili 10 mingine yapatikana ajali ya mitumbwi Bunda

Na Adelinus Banenwa Katika zoezi la utafutaji ya miili ya wanaoohofiwa kufa maji kwa ajali ya mitumbwi, hadi sasa miili 12 tayari imepatikana kati ya watu 13 waliotajwa kuzama katika ajali hiyo Baada ya miili miwili kupatikana hada jana jioni,…

1 August 2023, 8:11 pm

Mwili mwingine wapatikana waliozama Ziwa Victoria

Mwili mwingine wa muumini wa kanisa la KTMK umepatikana jioni hii na kufanya jumla ya waliopatikana kufika wawili huku vifo vikifikia vitatu kati ya watu 28 waliokuwa kwenye mitubwi iliyozama. Na Adelinus Banenwa Katika zoezi la utafutaji wa miili ya…

31 July 2023, 8:52 pm

Manusura ajali ya mitumbwi Bunda wasimulia hali ilivyokuwa

Vijana walionusurika kwenye ajali ya mitumbwi eneo la Mchigondo Bunda wasimulia hali ilivyokuwa baada ya mitumbwi kuzama na wao walivyonusurika huku wakiokoa watoto watatu. Na Adelinus Banenwa na Edward Lucas Joseph Kundi mkazi wa Bulomba alikuwa ni miongoni mwa wasafiri…

31 July 2023, 4:39 pm

Bunda: Watu 13 wahofiwa kufariki dunia Ziwa Victoria

Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakinusurika baada ya mitumbwi miwili kuzama Ziwa Victoria wakiwa wanatoka kanisani eneo la Mchigondo kata ya Igundu halmashauri ya wilaya ya Bunda. Na Adelinus Banenwa na Edward Lucas Watu 13 wanahofiwa kupoteza…

30 July 2023, 11:46 pm

Wachimbaji wadogo wa madini Bunda wafunguka kinachowarudisha nyuma

Wachimbaji wadogowadogo walia kukosa msaada na kulazimika kutumia vifaa duni lakini wakati dhahabu inapopatikana ndipo viongozi wa serikali, mamlaka na wadau wengine hujitokeza kwa ajili ya mgao wa mali. Na Edward Lucas Utaratibu wa viongozi, wadau na mamlaka zingine za…

27 July 2023, 8:25 pm

RC Mara: Walimu zingatieni sheria sasa hivi dunia ni ya utandawazi

Walimu zingatieni sheria kwa sasa dunia ni ya utandawazi watu wanarekodi kila kitu na kutuma kwenye mitandao. Na Thomas Masalu Mkuu wa mkoa wa Mara, Mhe Said  Mohamed  Mtanda amewataka walimu kuzingatia sheria katika utekelezaji wao wa majukumu ili kuondoa…

27 July 2023, 6:44 pm

Mahindi ya bei nafuu bado hayajatibu uhaba wa chakula Nyatwali

Baada ya serikali kuitikia kilio cha wananchi wa Nyatwali kuhitaji kupata mahindi ya bei nafuu, mambo yamekwenda tofauti kilio kimebadilika. Na Edward Lucas Baada ya serikali kupeleka huduma ya mahindi ya bei nafuu kwa wananchi wa Nyatwali wilaya ya Bunda,…